Wakuu,
Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!
Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao.
Waliagizwa kuwa wazime muziki kwa sababu tunazozifahamu, lakini hoja kuu hapa ni kuhusu hawahawa maaskari kwa sisi...
Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.
Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000 kwampalange tunaenda hata sikujua nijibu nini. Sitakuja tena Mbagala bakini huko na ushenzi wenu. Acha...
Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
Kwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata...
Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar.
Awe mwenye muonekano maridadi.
Awe mzoefu na kazi.
Awe mchapa kazi.
Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele
Mshahara maelewano kwa aliye tayari tuwasiliane 0622723082
Kazi inaanza kesho
Habari ndugu, jamaa na marafiki katika mihangaiko yangu ya hapa na pale baada ya kusoma mawazo ya wadau humu, nimefanikiwa kufungua Bar nimekuja kwenu ili nipate jina zuri ambalo naweza kulitumia kwa ajili ya hiyo bar.
Asanteni.
Natafuta experienced manager wa kuendesha biashara ya Bar, location ni Bukoba Mjini. For serious person niandikie ujumbe ili nikupigie 0782003685, 0754216810
Wakuu habari za muda huu,
Naomba tusaidiane kujibu hili swali, na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.
Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.