bagayoko

  1. Waufukweni

    Coastal Union yashusha straika mpya 'Bagayoko' kutoka Mali, kuanza na KMC

    Klabu ya Coastal Union imemtambulisha mshambuliaji mpya raia wa Mali, Amara Bagayoko. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa kama mchezaji huru mara ya mwisho akiichezea Asko Kara msimu wa 2023/24 katika Ligi Kuu ya Togo akifunga mabao 19. Tayari nyota huyo amewasili nchini na...
Back
Top Bottom