Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran.
Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar.
Hivyo Benki za Tanzania...
Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto.
Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana.
Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.
Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa...
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.
Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri...
Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko.
Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu?
Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
Stephane Aziz Ki ni jina lililotamkwa mara nyingi mno midomoni mwa mashabiki wa SIMBA na YANGA kwa takribani wiki nane sasa huku kila shabiki wa timu hizi akitamani huyu bwa mdogo acheze kwenye timu yake pendwa.
Hatimaye sasa ni rasmi AZIZ KI ni mali ya wananchi na ameshatambuliswa kwa mbwembwe...
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu...
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.
Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena
Kwa msiojua ni kwamba Gharib kasema hatoi zaidi ya 500 millions watu wamechafua madafatari vibaya sana, haya sasa millions...
Yaani Klabu kama Berkane FC wamtake na Wewe na Vipesa vyako vya Dhuluma na Ukwepaji Kodi wa Ofisi yako ya Salamander Posta ndiyo umpate?
Jiandae Kuumbuka tu Kudadadeki!!!!
Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC)
Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali akiwemo bilionea Rostam Aziz.
Akiongea wakati wa kutoa pongezi zake, Rostam Aziz alisema...
WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE
PROFILE STEPHANE AZIZ KI.
▪️Name - Stephane Ki Aziz
▪️Date of birth - March 6, 1996.
▪️Citizenship - Burkinafaso
▪️Position - Attacking midfielder
▪️Age - Twenty six years old
▪️Height - 1,75 Meter
Ki aziz...
Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu tupu kama chawa la Gsm linalo ji disguise kama chambuzi la clouds fm nalo likamsingizia mwanamke...
Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.