azam marine

  1. emmarki

    AZAM MARINE mlete vivuko vyenu Mafia

    Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya. Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...
  2. uran

    Wito kwa Serikali: Gharama za Vivuko vya Azam Kigamboni-Magogoni iangaliwe Upya

    Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni. Ni jambo jema japo lilichelewa. Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao...
Back
Top Bottom