1. Refa ni wa simba
Mpira wetu matokeo tunapanga sana. refa katumwa na simba washinde mechi. shame ila alikwau na maelekezo
2. Magoli yote offiside ya simba.
Kibendela nae katumwa. yani hii ligi refa ni alajiga tu. wengine wote ni wezi. sio kwamba quality awana ila wanatumwa. kitu awajui ...
Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
Nimewacheki Chama langu Azam fc . Bado wana a lot of individualism . Kila mtu yupo kivyake . Awana timu , in short kesho Simba Ana point 3 zake mapema tu.
Azam fc sijui nani aje ? Sema deal ni kuchukua Makocha wa Simba au yanga wakisuke KIKOSI vizuri.
Sema Azam fc Dini nyingi sana . Huu ndo...
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.
Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.
Hayo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.