Huyu mchezaji Ana mchango mkubwa sana ktk kkabu yetu, Leo amehusika kwenye Ile penati, mechi zote anazocheza Awesu wanasimba tunafurahi sana, wengine nikiwemo Mimi tunaumia sana akitolewa wakat mpira bado anautaka, Lakin haitwi timu ya Taifa.
Awesu amewazidi wachezaji wengi sana wanaoitwa stars...
Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known.
Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
I will be short.
when did Fei toto ever help taifa stars in anything??
Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa.
Morocco anaona nini kwa Fei toto?
Mechi kibao hana hata assist timu ya Taifa. then kila list yupo ila kiwango Hana. ni...
➡️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi.
✅ Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil.
Klabu ya KMC FC inapenda kuwataarifu wanakinondoni na wadau wa Soka nchini kwamba tumefikia makubaliano ya uhamisho wa...
Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC.
Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.