automatic gearbox

  1. JituMirabaMinne

    Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

    Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza. Hebu iangalie hii picha vizuri. Hii ni cross section ya Gearbox ya automatic. 99% gearbox za automatic...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mjue RICHARD SPIKES mgunduzi wa automatic gearbox

    RICHARD SPIKES: MVUMBUZI WA INJINI ZA GARI ZA KISASA!! Wengi wetu leo tunaendesha gari za kisasa zenye kubadili mwendokasi bila kuhitaji kubadili gea(automated gear transmission systems), na wengi naamini aghalabu wanapofikiri nani aliwezesha hilo' basi taswira ya mzungu fulani inawajia...
  3. JituMirabaMinne

    Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

    Ili gari yenye gearbox ya automatic(automatic transmission) iweze kubadilisha gear kuna taarifa kuu mbili ni lazima zipokelewe na mfumo wa kompyuta(control unit) ndio gear zitaweza kubadilika. Taarifa hizo ni:- 1. Speed ambayo driving shaft/tairi zinazunguka. 2. Speed ambayo engine...
  4. JituMirabaMinne

    Tuzungumze kuhusu oil za automatic gearbox, huenda siku ikakuokoa gharama

    Tuzungumze kidogo kuhusu Oil za Automatic Gearbox. Kuna makundi makubwa mawili ya Oil za Automatic Gearbox(ATF). 1. Standalone ATF 2. Universal ATF Hebu tunagalie moja baada ya nyingine. Universal ATF Hizi ni zile ATF ambazo kopo lake linaandikwa msururu wa magari ambayo hiyo ATF inaweza...
  5. JituMirabaMinne

    Siyo kila tatizo kwenye gari ni la kulichukulia kama lilivyo (ifahamu limp mode/failsafe mode)

    Endapo baadhi ya matatizo yatatokea katika gari lako hasa matatizo ambayo yanagusa mifumo ya muhimu katika gari lako basi mfumo wa kompyuta wa gari lako utaizima baadhi ya mifumo ambayo si ya muhimu ili kulifanya gari lako lisiendelee kupata uharibifu mkubwa zaidi. Dalili kuu kwa gari yako...
Back
Top Bottom