asomee nini kwa matokeo haya

  1. Orketeemi

    Kwa matokeo haya anaweza kusoma Kozi gani za Afya?

    Wakuu poleni na majukum, Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi. Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya : PHYSICS. " F" CHEMISTRY " B" BIOLOGY. "C" MATHEMATICS "C" ENGLISH " B" Kiujumla ana Division Two ya point 19.
Back
Top Bottom