arafat

  1. econonist

    Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

    Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida. 1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa. Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
  2. kipara kipya

    Ni dhahiri moto unawaka Yanga. Arafat alitishia kujiudhulu kama Gamond hatoondolewa

    Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo. Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita kumvunjia mkataba gamondi lakini Arafat alisimama na msimamo wake hakuna kumpa muda tena gamondi timu...
  3. TUKANA UONE

    Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

    Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!. Katika...
  4. adriz

    Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

    Moja kwa moja..
  5. mcshonde

    Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
Back
Top Bottom