Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit,
Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App.
Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.
Heshima kwenu wakuu.
Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.
Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?
NAWASILISHA.
Salaam Wakuu,
Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika kwenye vifaa vingine vya kidijitali iliwamo Computer Smart TV na android TV. Mada hii itajikita...
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
Wasalaam
Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu,
Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
Habari wana JF,
Kuna mtu yeyote humu anayeifahamu au aliyewahi kuitumia hii App ya Nikopeshe?
Wanatoa mikopo bila riba na unachohitaji ni namba ya NIDA tuu.
Ushauri wenu tafadhali.
Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS.
Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app.
Kwa...
Habari wadau,
Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje.
Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in terms of security(sababu nataka nitoe hudumu kwa watu kulipiza kiasi kidogo).
Kifupi naomba elimu juu...
Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya.
Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto iliyopo kwenye jamii ambayo inaweza tatuka Kwa mobile app basi tuahilikishane. Mimi ntaanzia kazi...
Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani
Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu
Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.