Wandugu Salama
Hivi nawezaje kuzuia kuzuia app ya bank wasiweze ku access contact na calendar kwenye simu yangu
Mfano ukidownload app ya crdb kunasehemu inataka Ile app iweze kuwa na access ya contact, calendar and picture
Sijajua why ina recommend hivyo but what if sitaki wapate hiyo access...
Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
Wakuu heshima kwenu.
Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp.
Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz wakiipiga ban natumai msg zote zitafutika na kuanza upya.
Sasa nawezaje ku-solve hili suala aidha...
Wanajamvi kufuatia mkopo aliyokopa mdogo wangu kwenye APP za mitandaoni nami kujikuta muathiriwa kwa kuwa namba yangu imo kwenye simu yake, hivo basi natamani mfaham yafuatayo:-
Application Date 13/02/2024
Due Date 19/02/2024
Platfoam Fee 45500TZS
Amount...
Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu.
Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi...
Salaam Wakuu,
Hivi kuna mtu bado anapata changamoto kwenye kutumia application ya Jamiiforums?
Kwa wale wa androids tumieni hii link.
Acha kulialia
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamii.app2024
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE".
Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7.
Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English.
Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua.
I'm the author of this course and I feel that it has the potential to have a very positive impact on education in Tanzania, in particular by providing a...
Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma?
Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo?
Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
Hii itakuwa mara ya kwanza kuunda desktop app na nataka iwe na uwezo wa kudai licence key sitaki mambo mengi lakini nachotaka ni ushauri maana sikuwahi kuunda desktop app kwa maisha yangu yote.
Kinacho nifanya nifikie hatua hii nikwamba nataka user au mteja aitumie kwenye machine yake but...
Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify
Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine
Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini...
Na Bwn Kenge!
"Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu
Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.