ANNA MGHWIRA, SIASA SAFI, MAMA MWEMA ANAYEISHI.
Ukiachana na Televisions kadhaa ambazo nilizowahi kufanya nazo kazi, mitandao ya kijamii imenisaidia kwa asiliamia zaidi ya 90 kunikutanisha na watu maarufu, na muhimu katika Taifa letu. Kwangu mimi Suphian, Mitandao ya kijamii ni Ofisi kama Ofisi...
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mei mwaka huu na alikabidhi ofisi kwa mrithi wake, Kigaigai Mei 27 mwaka huu wa 2021
Anna...
Mh. Adam Malima nakupa hongera kwa majukumu ya siku hata siku nikiamini kwamba ushakaribia Tanga na umeanza majukumu yako.
Ninakuasa uwe kama Mh. Anna Mgwira au zaidi yake kwa kutenda haki na kukaripia viongozi wasio kua na utu wala uadilifu kama Sabaya. Mh Mgwira alikemea hadharani vitendo...
Ushahidi huu hapa
Natoa pole kwa Wafiwa .
zaidi soma:
https://www.jamiiforums.com/threads/mama-anna-mghwira-usiongee-sana-peleka-vielelezo-juu-ya-kifo-cha-mama-yake-hoyce-temu.1872308/...
Leo nimepata bahati ya kutembelea akaunti ya Facebook ya Mh. Anna Elisha Mghwira Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyestaafu na kubaini maono yake na kazi kubwa aliyoifanya- ASANTE
NUKUU
Bibi Maria amenitembelea ofisini na kueleza jambo lake. Licha ya changamoto zake nyingi, bibi bado ni mcheshi na...
Ninaikumbuka vema kauli ya mama Salma Kikwete kuwa nanukuu: " Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako." Leo watoto wa wenzetu wameingia tatizo la kukosa mikopo ya elimu ya juu; tuwasaidie kama watoto wetu.
Ninapenda kuwaomba akina mama wote nikianza na Mhe mama Salma Kikwete aliyeasisi usemi na hatua...
Leo wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameamua kwa pamoja kusitisha kuweka sahihi mkataba wa EPA hadi Januari mwakani. Awali, Kenya na Rwanda walikuwa wamekwisha weka sahihi mikataba hii.
Uamuzi huu unaziweka nchi za ukanda huu katika nafasi salama ya kutafakari na kupima faida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.