Naomba mwenye kufahamu kama Air Tanzani walishaita Interview ya Cargo Officer na Sales. Walitangaza October 2019. Nikaona Nina sifa walizotaka Hadi leo sijapata Jibu.
Nilitumiwa parcel moja kutoka Dodoma kuja Dar last month. Suprisingly, akapewa mtu mwingine anayeishi Chanika. Yaani ilichukua zaidi ya masaa 28 kuipata ile parcel na ilinilazimu mimi kudrive kumfuata alipo.
Nimetuma box dogo tu lenye documents kwenda Bukoba tangu tarehe 30 December. Cha ajabu...
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba...
* Maoni haya ni yakwangu binafsi, mtu asitukane tuheshimiane kwenye maoni*
Tumeshawahi miliki Hisa na Ndege zikanunuliwa na badae ikaonekana zina tutia hasara badae zikauzwa/ binafsishwa au zikapotea kwenye anga la biashara. Biashara hii ya ndege hahihitaji hasira, ndio tumeanza lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.