William Ruto anapitia kipindi kigumu sana

Hujui Kenya ni ukabila umeshika hatamu
✍️
 
Uahi
Ushindi wa Magumashi ataendesha kwa tabu sana kama jpm
 
Raila anataka 'new hand shake'.....anawatumia tu vijana kufikia malengo yake alambe asali.
 
Mambo ya kula sijui nini ni ujinga ndio maana Africa inabaki kuwa maskini kula kale kwako sisi tunataka Kazi na maendeleo eti kula sijui vitu gani ujinga mtupu
 
Mambo ya kula sijui nini ni ujinga ndio maana Africa inabaki kuwa maskini kula kale kwako sisi tunataka Kazi na maendeleo eti kula sijui vitu gani ujinga mtupu
Ww unadhani utakula bila kuliwa
 
Eti kufanya kazi? Trump ameanza kampeini 2021 ficha ujinga, uchaguzi US ni 2024 ila Trump ali announce kugombea uraisi 2022
 
Shetani mamako na ukoo lako lote,kalb hayawan wewe.
Tena ukajikite kwenye ushuzi wenyu wa kijamaa hapo matopeni,kelbu iblis,sharmuta weye.

 
Simkubali Ruto ila kwa hilo yuko sahihi yeye ndiye aliyeshinda na hajakiuka katiba kutounda seriali na Raila.
Kinachomtesa ni kwamba aliahidi vitu havitekelezeki ili awe rais wakati ni ngumu kutekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…