Kenya uchaguzi umefanyika vizuri na kwa uwazi, tume ipo vizuri, tatizo ni wanasiasa wenu wanaolazimisha matokeo yawe kama wanavyotakaKenya 2022 - Tulieni, tupo kwenye zoezi la kuhakiki kura na mpaka sasa hakuna aliyekidhi idadi ya kutunukiwa Urais
Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania. Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na...www.jamiiforums.com
Keshaonja harufu ya The Haugue.Ruto yupo Kimya sana ila hawa akina Odinga ni balaa.
Tulishawaambia kina ras jeff kapita na Nyamizi Raila hatashinda huu uchaguz na hatawahi kuwa Rais Kenya. Asilimia 80 ya majumuisho ya kura Tayari. Rais Ruto anaongoza na 52% Raila 46%.
Kenya uchaguzi umefanyika vizuri na kwa uwazi, tume ipo vizuri, tatizo ni wanasiasa wenu wanaolazimisha matokeo yawe kama wanavyotaka
Kwa hali ilivyo pengine hata hiyo Jumanne zoezi litakuwa bado
Mnaombea itokee vurugu mpate kwa kuanzia?Bado.Kenya wameizidi Tanzania mbali sana izungumzwapo demokrasia.Tuna la kujifunza.Hajauliwa wala kupotezwa mkinzani.Intaneti ipo vema.Na wala Chebukati hajafuta uchaguzi ingawa Raila amedai yeye ni mshindi.
NB:Hivi Jecha yupo nchi hii?
Importer wa vitu gani ambavyo hatuwezi agiza kwingine au kutengeneza wenyewe??Kenya ndio importer wetu mkuu, uchumi wao ukishuka kwetu ni hasara pia
Usiwe mwepesi wa kuandika neno "mpumbavu" kama haujui hata maana yake.Umewauliza kwa nini wanachelewa kutangaza matokeo ya Urais?Uliza upewe jibu.Au unataka watangaze harakaharaka kama Tanzania halafu hakuna wa kuhoji mahakamani?Kule ni tofauti.Unapotolewa mfano wa mpinzani kupotezwa na weye nenda mbele zaidi ukikumbuka uhuni woootee ambao hufanywa na CCM wakishirikiana na tume pamoja na vyombo vya dola.Usiifanye akili yako nyembamba kama tishu ya chooni.Jiongeze.Umesikia Kenya kuna wagombea wameshindwa kujaza fomu za ugombea?Umesikia mgombea kaviziwa na kuporwa fomu wakati wa kurudisha?Umesikia mawakala wa vyama kukataliwa viapo au kukataliwa kuingia chaguzini kusimamia wagombea?Umesikia watu wa usalama kuwalazimisha makarani wa vituo kupunguza kura za wakinzani au kuleta kura feki ziingizwe kwenye makasha ya kura halali?Umesikia askari au wagombea kukimbia na kura?Jiongeze weye kibakuli!wewe ni mpumbavu bana.
yaani kwako uchaguzi akipotea mpinzani ndio unakuwa wa hovyo!!!
watu wanatahadhalisha mwenendo wa kusita sita kitangaza unaweza kuzua balaa wewe unakuja na hizi pumba zako za kusifia ujinga kisa umetokea kenya!!!
wakitangaza mapema kukawa na utulivu si ndio vyema sasa watakuwa wametuonyesha 1000% ya ustaarabu na kujitambua!!!!
Wamechukua mda mrefu mno kuhesabia Kura . Ilbibidi wawe wamemtangaza mshindi siku nyingi Ila wao walikuepo Wana chelewesha mnoMzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui
Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas
Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
View attachment 2323329
Hawaamini, wameanza kufanya Hujuma. Tazama kinachotokea sekunde ya 37 katika video hii.
Unajua maana ya importer? Ni mnunuziImporter wa vitu gani ambavyo hatuwezi agiza kwingine au kutengeneza wenyewe??
Tume yenyewe inalalamika kukabwa na wanasiasa ambao wanafanya zoezi la kuhakiki kura kuwa gumuTume imesimama wima hakuna kulazimisha, hata rais mwenyewe kwenye hili hana uwezo huo, hata waongee vipi mpaka tumpate tuliyempigia kura.
hii ni sifa ya mtu,kama anayo anapewa.wewe unayo.Usiwe mwepesi wa kuandika neno "mpumbavu" kama haujui hata maana yake
hii ndio point ya mleta mada,matokeo ya uchaguzi sio oda ya pombe kali unayoagiza kwamba ikichelewa hakuna shida,sijui hata unajua vihatarishi vya kiusalama wewe,au umesshashiba hapo unasinzia tu..Umewauliza kwa nini wanachelewa kutangaza matokeo ya Urais?
swala la kuhoji au kutohoji liangaliwe kuliko usalama na amani ya nchi!!!!hivi una akili timamu wewe??Uliza upewe jibu.Au unataka watangaze harakaharaka kama Tanzania halafu hakuna wa kuhoji mahakamani?
wamejaza wote na kila mtu kafanya lililo haki yake,kwanini machafuko kizembe mwishoni!!!au akili zako fupi hazioni hatari hiyo???kuku kabisa wewe.Kule ni tofauti.Unapotolewa mfano wa mpinzani kupotezwa na weye nenda mbele zaidi ukikumbuka uhuni woootee ambao hufanywa na CCM wakishirikiana na tume pamoja na vyombo vya dola.Usiifanye akili yako nyembamba kama tishu ya chooni.Jiongeze.Umesikia Kenya kuna wagombea wameshindwa kujaza fomu za ugombea?
ndio maana nikasema wewe ni birika bovu,sasa ubora wa kenya kwenye uchaguzi hatua hizo za awali unahalalisha ucheleweshaji wa matokeo????Umesikia mgombea kaviziwa na kuporwa fomu wakati wa kurudisha?Umesikia mawakala wa vyama kukataliwa viapo au kukataliwa kuingia chaguzini kusimamia wagombea?Umesikia watu wa usalama kuwalazimisha makarani wa vituo kupunguza kura za wakinzani au kuleta kura feki ziingizwe kwenye makasha ya kura halali?Umesikia askari au wagombea kukimbia na kura?Jiongeze weye kibakuli!
🤣 🤣 🤣 tume huruHawaamini, wameanza kufanya Hujuma. Tazama kinachotokea sekunde ya 37 katika video hii.
demoktasia africa ni koti la bati😂😂😂🤣 🤣 🤣 tume huru
Kilichopo online ndo huwa sahihi kuliko vya kwenye makaratasi? Mi naona yote ni km ni tz tu, wanaoweka online ni tume na wanaoweka kwenye makaratasi ni tume pia. Kama wakiamua kudanganya bado inawezekana.Kila kitu kipo wazi mkuu, matokeo yote yapo online na yoyote anaweza ku download na kujumlisha
Raila anajua matokeo halisi yapoje ndio maana analeta uchochezi
Yanaoyowekwa kwenye mtandao ni copy za matokeo ya kwenye vituo, ambayo tayari mawakala wa pande zote wamesaini na kukubali hizi zinaitwa fomu 34AKilichopo online ndo huwa sahihi kuliko vya kwenye makaratasi? Mi naona yote ni km ni tz tu, wanaoweka online ni tume na wanaoweka kwenye makaratasi ni tume pia. Kama wakiamua kudanganya bado inawezekana.