Usafiri wa Mabasi Dar/Arusha-Nairobi wasitishwa

Ukienda na ndege ndio utaingia mjini Nairobi? Kama kuna machafuko, sio kwenda huko hadi hali itulie, KDF washaingia kazini, hali ya hatari imetangazwa jana, hivyo hali itatulia soon..!!
 
Ukienda na ndege ndio utaingia mjini Nairobi? Kama kuna machafuko, sio kwenda huko hadi hali itulie, KDF washaingia kazini, hali ya hatari imetangazwa jana, hivyo hali itatulia soon..!!
Wana Express way kuanzia airport mpaka hotel kubwa zote Mjini. Humo humkuti muuza jicho yoyote wa Kibera
 
Ndege ni hatari zaidi, kuanzia JKNI, Kitengela na Adhi river kuna fujo.
Kutokea JKIA mpaka zilipo hotel za maana - upper hill, Westland na ofisi za wenyewe Gilgil (UN and the likes) Ulinzi umeimarishwa. Hakuna nyapu anakatiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…