Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Ameanza kufanana na babakeHalafu kafura...!
Usiidharau kwavile haijajaa, hivi ndo hio meli hukaa ikiwa na mizigoHiki kingalawa kimekodishwa kama yale magari ya harusi mombasa 😅😅😅
Hakuna hata juakali fishing boat inayodock Lamu masikini 😅😅😅
View attachment 1792013
Walituambia itakua ni EA transshipment hub na itaigalagaza Mtwara port 😂😂
Sudan an Ethiopia why walihepa?
President Uhuru Kenyatta and visiting Prime Minister of EthiopiaDr. Abiy Ahmed have arrived in Lamu County from Marsabit County where they commissioned the Moyale One-Stop Border-Post and the 500-kilometer Hawassa-Hagere Mariam-Moyale Road. The leaders, who have been joined by Kenyan opposition leader Raila Odinga, are expected to inspect ongoing works at the new Lamu Port this afternoon.
Kitu nilichoona hapo ni Tanzania officials dress codes tuMiezi mitatu iliopita Waziri mkuu wa Ethiopia pamoja na Rais wa Kenya walizindua mradi wa Barabara ya 500Km kutoka mpaka wa Kenya hadi Hawassa ambako kuna viwanda na mji mkuu ambao Mizigo yao itakua inapitia Lamu
Huyu hapa akizindua rasmi ujenzi wa barabara hio akiwa upande huo wa Ethiopia.
Hapa kwa map unaweza kuona Hawassa iko wapi kutoka Kenya. As you can see, hata hao Ethiopia wako na mipango ya kujenga reli hadi mpaka wa Kenya.
Huyu hapa akitembea na kivuka mpaka na kuingia Kenya kwa miguu akiwa anakagua kivuko hicho - Hapa walifungua rasmi kituo hicho cha One-Stop-border.
Baada ya hapo Waziri huyo wa Ethiopia na delegation yake ilipanda ndege ya KDF na kuelekea Lamu port amabako alikua anangojewa
Walipofika Lamu Wakapokewa na AU High representative for Infrastructure Project - Raila Odinga
Pia Gavana wa Lamu alikua hapo
Baadae wakachukua boti kuzunguka na kugakua ujenzi wa bandari ya Lamu
Hapa akaonyeshwa barabara tofauti ambazo zitatumika kusafirisha mizigo kutoka Lamu kuelekea Ethiopia.
Hotuba zao walitoa hapo juu ya bandari la lamu
Kwa kifupi waziri mkuu wa Ethiopia alishazindua mradi wa Lapsset. Hakuna jengine la kufanya ambalo limebakia ila kungoja mizigo ifike Ethiopia. Msidhani sisi ni kama nyinyi, Suluhu anaenda kusign EOCOP pipeline kule Kampala kwa ziara ya siku moja alafu wiki moja baadae M7 naye aje kusign mradi huo huo Dar/Dodoma kwa ziara ya siko moja pia, kwani Tanzania hamna G4S mmtumiwe hizo documents 🤣🤣🤣
Bonus pic
Hii ndio neopanamax for transshipment to Dar? 😅😅Usiidharau kwavile haijajaa, hivi ndo hio meli hukaa ikiwa na mizigo
Hahaha, Yani CCM imewa yeyusha akili na brainwashing kiasi hicho mpaka Kaunda suit (ambayo huvaliwa kote sub Saharan Africa ) ni nguo ya kitanzania pekeyake!? Duh! Poleni sana!Kitu nilichoona hapo ni Tanzania officials dress codes tu
View attachment 1792373
Ethiopia haiwezi kutumia bandari yenu sababu imewekeza billions kwenye port ya Djibouti na haijawahi kutumia bandari zenu
White elephant
Unajua source ya nguo hizo!?Hahaha, Yani CCM imewa yeyusha akili na brainwashing kiasi hicho mpaka Kaunda suit (ambayo huvaliwa kote sub Saharan Africa ) ni nguo ya kitanzania pekeyake!? Duh! Poleni sana!
Mzee kwani population ya watu is direct proportional na matumizi ya bandari!?Hahaha, Yani CCM imewa yeyusha akili na brainwashing kiasi hicho mpaka Kaunda suit (ambayo huvaliwa kote sub Saharan Africa ) ni nguo ya kitanzania pekeyake!? Duh! Poleni sana!
Alafu unajua hii Barbara ya Kuelekea Ethiopia mnaweza kutumia hadi nyinyi kupeleka mizigo yenu Ethiopia kupigia Namanga kwa nchi ambayo mbeleni mlikua hamna biashara nayo? Badala ufikirie kibiashara kama hizo we unabaki na fikra za kimaskini na wivu!!!!!
Tanzania ni nchi ya watu 60m na mko na bandari tatu na zote zina wateja. Unataka uniambie Ethiopia na watu 100m wanaweza kutoshelezwa na bandari moja au mbili? Fikra za wachawi zishindwe!