Minimum wage; a wage to give a kenyan a decent living. Now what is the definition to a decent living? Hapo ndo kasheshe.
Hao ndo wanasiasa ukiwauliza hiyo definition ya decent life watakupigia maneno mpaka unaweza kuanza kusinzia.
Today Dida is very smart khaaa
Dida overpayment must be paid back!
Wameumbwa na Mungu lakini wameamua kutochangamana naye, wametafuta njia zao wenyewe ndo maana unaona wanayoyaongea hayana uhalisia. Kulikuwa na mwanasiasa mmoja wakati wa kampeni alienda sehemu ambayo hata mto hakuna akaahidi kujenga daraja, walipomuuliza daraja la nini mbona hatuna mto akawajibu msiwe na wasiwasi mto nitauleta mapema iwezekanavyo.Nashindwa kufahamu kama wanasiasa nao wameumbwa na Mungu, manake wanayosema hayana uhalisia wa maisha yao
Wameumbwa na Mungu lakini wameamua kutochangamana naye, wametafuta njia zao wenyewe ndo maana unaona wanayoyaongea hayana uhalisia. Kulikuwa na mwanasiasa mmoja wakati wa kampeni alienda sehemu ambayo hata mto hakuna akaahidi kujenga daraja, walipomuuliza daraja la nini mbona hatuna mto akawajibu msiwe na wasiwasi mto nitauleta mapema iwezekanavyo.
Today Dida is very smart khaaa
Paul Mwite anatuhumiwa kula rushwa ya miaka ya 90, Golden burg scandal, anakataa kata kata