Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wengine walizusha kuwa alipewa maswali kabla hivyo akajiandaa in advance, pia kukawa na malalamiko kuwa kipaza saauti cha mrema kilichakachuliwa though haikumzuia kushuka points...
B nilikuuliziaga pale Chako nikaambiwa hujawahi hata kukanyaga ni kumbe unaosheaga tu JF...mweeh!Halafu B nimekumiss.:shut-mouth::shut-mouth:
sasa utakuta labda M7 na kina Raila wana madeal mengine kibao yasiyo halali, sasa partners in 'crime' inkuwa vigumu kuchenjiana ki ivo ndo iutasikia 'tutalimaliza kidiplomasia"
Like ! Like ! Like !But this is Martha Karua. An individual. What makes you generalize that she symbolizes women? That because she is strong, women are not weak. That because she is strong,another woman is also strong; and all women are strong.
Wanarudia au recorded?
Hivi kama huko Kenya wana uhaba wa walimi 100,000 inakuwaje huku kwetu wapo "walimu wakenya" kwenye hizi "english medium" zetu, au tunawalipa vizuri zaidi?
B nilikuuliziaga pale Chako nikaambiwa hujawahi hata kukanyaga ni kumbe unaosheaga tu JF...mweeh!
Raila aende zake huko na majibu yake 'mepesi' kama ya huyu mshikaji wake wa bongo.
Shule za 'kata' Kenya hazina vitabu wala walimu - suala hili la kuwa na matabaka kielimu linanifurahisha kuona linapewa uzito ktk mdahalo huu ingawa utekelezaji ni suala lingine'
Wengine walizusha kuwa alipewa maswali kabla hivyo akajiandaa in advance, pia kukawa na malalamiko kuwa kipaza saauti cha mrema kilichakachuliwa though haikumzuia kushuka points...
But this is Martha Karua. An individual. What makes you generalize that she symbolizes women? That because she is strong, women are not weak. That because she is strong,another woman is also strong; and all women are strong.
Kaizer inakuwa hivi waalim wa Kenya kwa taarifa amabzo nilizipata toka wizarani hasa ni kuwa huwa wengi hasa wale wa lugha ya kiswahili hUpata kazi shule za nchi nyigine kama Rwanda, China,nkHivi kama huko Kenya wana uhaba wa walimi 100,000 inakuwaje huku kwetu wapo "walimu wakenya" kwenye hizi "english medium" zetu, au tunawalipa vizuri zaidi?
Hahahaaa haya bana! Kweli Ken kapata attention yako.
Hahahahaaaa!! so you pretend that you are not feeling jealous?...Haya mkoya!!
Zungu Pule, we have a tradition that does not trust women (especially Africa), this Is due to our wrong mentality delivered through our poor culture. Also when one woman fails you guys you are good at generalising forgetting there are also strong women around.
Give a credit when due.
Queen Esther
Seriously i noticed that before you alerted me, lol. he is a piece of work lakini ila si kama nimevutiwa sana:mwaaah::mwaaah:
heartbreaking za politicians comes with a banggggg!