Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya


Baada ya huyo kuonyesha mnavyotia aibu kwa kuweka ramani kabisa ya madini, kuna huyu pia anaeleza laana ya umaskini inavyozidi kuwatesa, bado nashauri muache kula albino Tanzania bado ni nchi maskini sana
 


Satellite ya Rwanda ni "surveillance sat" ni "spy sat" sio kwa ajili weather forecasting au communication purposes, na hiyo ni msaada kutoka kwa mabeberu kwani Rwanda kama ilivyo haina sababu ya maana na haiwezi kurusha satellite huko angani.

Mabeberu wapo hivi; wanapokuwa na shida ya kitu fulani kwa njia rahisi basi hutafuta njia ili kitu hicho wakipate kwa gharama yoyote, Rwanda anahusika sana na instabilities huko mashariki ya congo ambako kuna madini nk, M23 ni Rwanda creation ili kuleta social unrest ili watu waendelee kupora natural resources huko Congo kwa ajili ya hao mabeberu na ndio maana Rwanda ni jeuri sana kwani mabeberu wanamlinda na anawategemea sana wao, kumbuka Jonas Savimbi case ya diamond huko kabinda, Rwanda ni malignant cancer in East Africa region.
 
Baada ya huyo kuonyesha mnavyotia aibu kwa kuweka ramani kabisa ya madini, kuna huyu pia anaeleza laana ya umaskini inavyozidi kuwatesa, bado nashauri muache kula albino Tanzania bado ni nchi maskini sana


Huwezi nyumbani kwako watoto wako wanakufa njaa halafu wewe unatoka nje na kutamba kwa jirani zako eti; unalo gari na nguo za thamani kuliko wao ilhali majirani zako watoto wao hawana hivyo vitu isipokuwa watoto wao hushiba kwa chakula.🤣

Shibisha kwanza watoto wako ndipo ukawatambie jirani zako.


Wajackoya oyeeee, Green economy oyeeee🤣🤣
 

Umeandika neno Kilimo Kwa herufi kubwa,
Halfu ukaandika na nano nzige,
Nimecheka sana aisee
Nchi inajinasibu kurusha satellite kwa hisani ya Japan halafu inategemea food donations.
Kilichonichekesha zaidi ni vile mlideal na nzige miezi kibao wakati Huku kwetu ilikuwa ni zoezi la wiki tu . Is that nano satellite from Japan really helping you ?
Kweli kuwa mkunya ni Laana [emoji3][emoji3][emoji3]
 

Kuna hii nyingine nilianzisha huku ya mataifa maskini yaliyozongwa na madeni, hebu waza umaskini huo mlio nawo na madeni yote hayo, muache nyama za albino laana itapungua Mataifa maskini yanayozongwa na mikopo. Hivi majirani hizi hela mlizifanyia nini cha kuonekana?
 


I say, Vote for Wajackoya as he has invented a solution to finish the ever recurring and annually increasing hunger disaster in your country. Wake up.

Harambeeeee Green economy!!!, Hoyeee green economy for Kenyans, it is over.
 
I say, Vote for Wajackoya as he has invented a solution to finish the ever recurring and annually increasing hunger disaster in your country. Wake up.

Harambeeeee Green economy!!!, Hoyeee green economy for Kenyans, it is over.

Kuna huyu dah nimesoma hadi nikaingiwa na huruma sana, ila ndio hivyo mchawi wenu ni laana ya ulaji wa albino
 

Hapa ndio Wakenya mnapoonekana Zombies kwani hamuwezi kutamba kwamba mnayo maendeleo wakati 3.5 milion of your people suffers rom hunger!!!, sasa ni maendeleo gani hayo kwa faida ya ya nani?? Au ni kwa faida ya mabepari wachache wanaomiliki huo utajiri wa kiuchumi??!!---- Idiots.

 
MK254 Nahisi wewe ni moja wa hao Kenyans wanotaabika na njaa ya kila siku kwani upeo wa akili yako haupo sawa.👇🏻

 


Hadi akili yako ikukae sawa na ujue kwamba nyie sio masikini wa akili tu bali ni masikini wa utu na watu wenu wengi ni masikini na utajiri wenu unamilikiwa na mabepari wachache wenye roho za kinyama, hawajui njaa za watu.👇🏻

 


Hii ndio athari za ukabila na uchoyo mliyokuwa nao, angalia hivi Kenya yote alikosekana mtu au mwanamke wa ku ADOPT mtoto hadi Mbwa ajitokeze kuwafundisha nyie Wakenya jinsi ya kuadopt watoto??!, huyo mama alitupa watoto sababu ya njaa na shida zingine, mbwa akajitokeza kulea watoto, masikini inatia uchungu kwelikweli, halafu mtu anavimba mashavu na povu linamtoka mdomoni akidai eti; "sisi tumeendelea sana tumerusha satellite" 🤣🤣

 


Njaa mbaya sana ikizidi, mnaona jinsi mtu akishikwa.na njaa anachoweza kufanya, tena hamuogopi hata Mungu na ndio maana kaamua kuleta vurugu kanisani na kumpiga padre.🤣🤣


 
MK254 ---- Hatua za haraka zahitajika kuokoa maisha ya Wakenya 3.5 milions kutokana na njaa.

Au Wewe huoni jambo hilo??--- unakuja hapa kuturingishia na kasetelite kako kamoja umlikopewa msaada na mabeberu eti mnajidai na nyie mmeendelea!!🤣, kama mmeendelea, je America, Japan ,Germany na nchi za Ulaya wasemeje??.

Ondoeni njaa kwanza nchini mwenu ndipo uje tujadili mambo ya satellite nk..

 
Huu uzi ushajadiliwa sana hapa: Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama? Moderator fanya kuziunga.

Rwanda wanataka satellite for communication purposes, "The minister noted that Rwanda is in talks with a host of nations to help develop its space capabilities in possible deals that will potentially add impetus to the country’s Information and Communication Technology (ICT) ambitions"

Satellites za nchi nyingi duniani ni kwaajili ya mawasiliano in other words satellites nyingi ni minara ya mawasiliano tu.

"Communications satellites are used for television, telephone, radio, internet, and other applications. As of 1 January 2021, there are 2,224 communications satellites in Earth orbit."

Kenya Wana satellite nini kimebadilika? Hali yao ya usalama inazidi kuwa mbaya kila siku.

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini kama hata mlo mmoja kwa siku unawashinda?

Ethiopia wana satellite kwaajili ya mambo ya kilimo ila ndo nchi inayoongoza kufa kwa njaa.

Djibouti nao wapo in plans za kuwa na satellite ila ni choka mbaya.

Ni vyema kuwekeza kwenye utaalam ila satellite sio kipaumbele. I'd rather have maji safi na salama kila kona, barababara nzuri, SGR, umeme wa uhakika na chakula kabla ya kuamua kutapanya pesa unnecessarily.
 
Kwamba satellites sio miundo mbinu pia, sawa na mabarabara na hiyo SGR uliyoitaja? Umetaja kwamba zinatumika kwenye mawasiliano. Kuna hadi wizara ambayo inaitwa Transport and Communication, yaani Usafiri na Mawasiliano na ICT juu yake.

Alafu unajaribu kutushawishi kwamba satellites sio kipaumbele, labda kwenu. Kama mnaona sifa kutumia satellites za wengine ni sawa. Ila nakuhakikishia kwamba ndani ya miaka kama mitano hivi inayowadia hata nyie pia mtaiga. Lazima kwa ushamba wenu utasikia mnaanda hafla moja kubwa ya uzinduzi wa kurusha uongo angani. Alafu viongozi wenu watakata utepe kwa mbwembwe nyingi, wakiwaringia kwamba wamewaletea nyie wanyonge maendeleo. Bure kabisa.
 
Upumbavu, sasa unaponda teknolojia yote inayohusiana na satellites kisa majungu yako dhidi ya Rwanda? Huo sio ukichaa kweli? Rwanda wanafanya mambo yao kulingana na malengo yao, sio ya nchi jirani. Wao ni kansa kwenu nyie wanyonge, ambao huwa mnawakuza na kuwaogopa. Rwanda na Kagame wao hawana ubabe wowote mbele ya nchi ya Kenya. Ndio maana huwa tunatangulia sisi kisha wao wanafata.
 

It's called Priorities. Limeni mpunguze njaa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…