Wakenya mambo yao ya ajabu ajabu sanaWAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE
Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU
Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate
Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Watu wote wenye akili duniani, huzungumza na wakosoaji wakiwa wachache, kabla hawajawa wengi, maana wakiwa wengi huwezi kuwadhibiti hata kwa kumwaga damu,maana ni wengi.WAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE
Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU
Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate
Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Kama chama chao wanalogana vile wakiingizwa serikalini si tutamalizana mkuuWatu wote wenye akili duniani, huzungumza na wakosoaji wakiwa wachache, kabla hawajawa wengi, maana wakiwa wengi huwezi kuwadhibiti hata kwa kumwaga damu,maana ni wengi.
Hapa kwetu wakina Lisu wanapuzwa na kubezwa,laakini kama watawala wangekuwa japo kidogo na akili kama punja ya haradili basi wangewaita wakasikiliza hoja zao mezani wangali wakiwa wachache, wakiwa wengi wanaolalamika hutaweza kuuwabyamazisha hata kwa kuwaua.
Ccm,ccm ccm msimsikilize yule mzee wa karne ya 18 hajui tupo 2025
Yani ya ajabu kupita maelezo. Miaka miwili nyuma Ruto na Raila walikuwa wanatukanana kabisa maadui eti leo marafiki. Ila Ruto Mungu atamlipa kwa kumsaliti GACHAGUA time will tell.Wakenya mambo yao ya ajabu ajabu sana
SikuhizinaonaumejifunzakuandikavizurišššWAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE
Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU
Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate
Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Bado nakumbuka enzi zileeešSerikali ya UMOJA mkuu
So mambo ya share holders hayapo tena. Watu ya murima watapata tabu sana.WAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE
Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU
Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate
Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Wakenya Wana akili Sana Sana, Sisi Huku akili zetu ni uchawa Tu na unafiki. Kabudi ni profesa ila Hana msaada wowote ule kama alivyo kitiaWAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE
Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU
Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate
Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Mungu atawavuruga wale utaniambiaYani ya ajabu kupita maelezo. Miaka miwili nyuma Ruto na Raila walikuwa wanatukanana kabisa maadui eti leo marafiki. Ila Ruto Mungu atamlipa kwa kumsaliti GACHAGUA time will tell.