Katiba (mpya) Yao inasemaje akiachia ngazi?1. Kutokubalika kwa sera zake za Kodi mpya kila kukicha na mauaji yanayoendelea ingefaa Dkt. Ruto apumzike kupisha uchaguzi Mkuu mpya.
2. Kenya inastahili Rais mpya mwenye maono na Sera mpya.
3. Kuendelea kushupaza shingo. Ni kuruhusu mauaji zaidi na mdororo wa uchumi
View attachment 3041239
Ooh kumbeMbona juzi kasema amajiuzulu
Nani akauwaweBongo ndo nchi ya mazombie hata mfanyweje nyie ni kusifia tu kmmke
unaogopa kifo?Nani akauwawe
Huko Kenya sijui watatulia lini walai nako kuna hekaheka miambiliiii kidogoo
Majirani wana heka heka sana...Huko Kenya sijui watatulia lini walai nako kuna hekaheka miambiliiii kidogoo
Ehunaogopa kifo?
Kumbe wewe ni zombie, ha ha ha😎Bongo ndo nchi ya mazombie....