Why not us Africans put our nations interest first!! ??American interest first, ukiona kiongozi wa Africa anapendwa na mabeberu ujuwe ameshawauza watu wake.
May be!! But between the lines, today's speech was Fabolous!!Sold your soul to the devil
Butt? Mtakuja kutukana bure nyie mnaojifanya mnajua sana kizungu😎😉May be!! Butt between the lines, today's speech was Fabolous!!
Typo wewe Gamba!!!Butt? Mtakuja kutukana nyie mnaojifanya mnajua sana kizungu😎😉
Huoni na umeandika Fabolous hapo? Ha ha ha😎😎Typo wewe Gamba!!!
Ha! Ha! Ha!Huoni na umeandika Fabolous hapo? Ha ha ha😎😎
Wakwetu wanampa nafasi lini tumuandaeRais William Ruto anatarajiwa kufanya Ziara ya Kiserikali nchini Marekani tarehe 23 Mei 2024.
Labda Logic. Maana lugha hutafsiriwa. Na mpaka wakualike ni Lazima uwe na maslahi nao.Hapa Tanzania labda Polepole tu aweza kualikwa huko. Hatuna watu wengi wenye logic. Haalikwi kwa sababu ya lugha tu, na logic.