Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Wamfuate Rwanda huko huko kwake, yeye ndie analeta shida Congo
 
Aliekueleza wameshindwa Somalia ni nani? Unadhani Alshabaab wako kwenye uwanja wa vita kama walivyo M23?
Bwana hiyo ndo jf wenye uelewa wamea wachache haelewi Kama m23 inaonekana wazi na imejipambanua wakati alshabab utendaji wake ukotofauti

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
**Hustler ana petrol stations
Uganda kila kijiji**
Hivi kweli wale vifaranga walioungua moto bahati mbaya pale boda ile miaka fulani-fulani, hawakuwa wa Chief Hustler kweli?

Juzi Moses Kuria (CS wa Biashara, Uwekezaji, na Viwanda) aliulizwa na counterpart wake wa Uganda kwa nini wakatae mayai kutoka Uganda wakati ni ya kuku wao wenyewe ambao Kenya iliwauzia wakiwa vifaranga?
 
M83 ni tofauti kabisa na Shababu wana silaha nzito ni kama Jeshi kabisa halafu mazingira ya DRC ni misitu mizito ngoja tuanze kuona masanduku ya Askari wa Kenya.

Once on a battle field kufa hakuepukiki hilo fahamu, kikubwa KDF ikumbuke tu M23 wana mashambulizi ya kuvizia kambini usiku hivo wakae macho au wawaulize TPDF walifanya nini kuwafurusha hao wahuni wa M23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…