J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 10, 2025 #1 Your browser is not able to display this video. Baada ya kumaliza Kikao cha Pamoja EAC na SADC jijini DSM Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Rais Ruto ameongea na Mabalozi wa nchi zote duniani na kuwaelezea yanayoendelea Congo Ruto amesema Hali ya Congo ni Tete sana Source: Citizen TV
Your browser is not able to display this video. Baada ya kumaliza Kikao cha Pamoja EAC na SADC jijini DSM Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Rais Ruto ameongea na Mabalozi wa nchi zote duniani na kuwaelezea yanayoendelea Congo Ruto amesema Hali ya Congo ni Tete sana Source: Citizen TV
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Feb 10, 2025 #2 Ruto yupo serious tatizo ni wenzake wanasikitika machoni lakini moyoni wanafurahia kinachoendelea Congo.
Ruto yupo serious tatizo ni wenzake wanasikitika machoni lakini moyoni wanafurahia kinachoendelea Congo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 11, 2025 #3 Sawa sawa