Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

It's no brainer that the more you increase on the number of tests, the possibilities of having an increased number of infected persons!..
 
Kwa kifinyo tuliowapa hawa makapuku Cha siku 2 tu joto la jiwe limempata mpaka Rais wa Zambia akaona bora ayamalize mapemaa kabla kujakucha akaamua Jana nae afungue mpaka maana kahisi hawa wa bongo washamalizana na mkenya watanigeukia Mimi hawa akaamua bora awe muungwana
Eti nyie nyang'au, ya kweli haya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwanza ktk ukanda huu hamna Nchi isioweza kuhimili mikiki Kama Kenya !! Wao wameweka vikwazo vyao zaidi ya wiki 2 tulipoweka cc tu ckuyapili tu wakamtafuta Mh Kabudi akawapa wiki wakaona wiki sawa na mwezi cku ya nne tu wakakaa kikao na kukubali matakwa yote ya TANZANIA
Aisee vikwazo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maambukizi yameongezeka lakini sio kama vile hakungekuwa na hizo hatua zikizowekwa. Halafu ukumbuke idadi ya vipimo vimeongezwa hapo lazima idadi ya waathiriwa itaenda juu!..

Help me understand this, please. Kwamba vipimo vikiongezwa vinakuja na new infections? Are the test kits infected? Kama lockdown/curfew imesaidia tunatarajia idadi ya new infections iwe inapungua. Is that the case? And if the curfew helps, why lift it up while infections are on the rise?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…