Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Kwani hujayaona maridhiano huku Tz ?

Ya Kenya umeyasikia?

Raila suspends Azimio protests, to engage in dialogue with Ruto

“In view of the foregoing, we stand down our demonstrations for Monday but in doing so we want to emphasise that we reserve the right to call for demonstrations should this process bear no fruit. Should there be no meaningful engagement or response from Hon Ruto to our counter-offer, we’ll resolve to resume our demonstrations after one week."

Tofauti hiyo ina maana yoyote kwako?

Angalizo: ukiliona bandiko lako linashangiliwa na kina Magonjwa Mtambuka johnthebaptist na wenzao, ujue ni muda wa kujitathmini sana.
 
Hivi unaijua vizuri familia ya kina Odinga na utajiri walio nao tangu enzi za Mzee Jaramogi Oginga Odinga? Hebu google kwanza walau ujiridhishe kabla hujachekesha hapa kuwa RAO anatafuta pesa ya kusomesha watoto wake.
 
Hivi unaijua vizuri familia ya kina Odinga na utajiri walio nao tangu enzi za Mzee Jaramogi Oginga Odinga? Hebu google kwanza walau ujiridhishe kabla hujachekesha hapa kuwa RAO anatafuta pesa ya kusomesha watoto wake.

Utanzania asili yake ni ujuaji uliopitiliza. Acha tutembee kifua mbele kwanza.
 
Siasa zetu ni za mitandaoni pekee, huku mtaani utasikia "Mbowe anafuturu na mama Samia, Ikulu".
 
Matanzania ni majitu ya ajabu sana, yanaishi kama kuku wa kienyeji. Hayawezi kuanzisha mageuzi yoyote dhidhi ya serikali ya kifisadi ya CCM.
Ndugu anza tutakufuata nyuma wewe tangulia na mkeo pamoja na wanao sisi tutakufata nyuma
 
Ndugu anza tutakufuata nyuma wewe tangulia na mkeo pamoja na wanao sisi tutakufata nyuma
Nyie mbona hata msipofuata si tuko vizuri tu?

Your browser is not able to display this video.


Hata Kenya wapo walioyalaani mandamano ila kwenye matunda sasa, watataka kunufaika zaidi!

Kazi kweli kweli.
 
Du! Nawe ni mtanzania halisi kabisa aisee! Mtaendelea kukaangwa na CCM hadi Yesu atakaporudi.
Wewe ambaye hutaki kukaangwa tangulia mimi ni mkenya mtanzania halisi ni wewe
 
Wewe ambaye hutaki kukaangwa tangulia mimi ni mkenya mtanzania halisi ni wewe
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority looters and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Mjinga ni wewe. Nitajie mtoto wa raila anayesoma?
Ina maana raila akose Hela ya kula? Utakuwa ulisomea ujinga.
 
Ruto anasaidiwa kuongoza nchi. Kuongoza nchi sio hustle na unabaishaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…