Kenya 2022 General Election
Hapo vip!!

Raila Odinga amesema Chabukati ambaye ni mwenyekiti wa IEBC ni Dictator kwenye Tume.

Ila Binafsi nimshauri Raila ya kwamba Ruto ni chaguo la Mungu na Wakenya hatakaa amshinde kamwe
 
Kwahiyo huenda Ruto asiapishwe mpaka Kura zirudiwe kuhesabiwa?!
 
Hapo vip!!
Raila Odinga amesema Chabukati ambaye no mwenyekiti was IEBC ni Dictator kwenye Tume.

Ila Binafsi nimshauri Raila yakwamba Ruto ni chagua la Mungu na Wakenya hatakaa mshinde kamwe
Ruto chaguo la Mungu? Miaka 10 akiwa na Kenyatta wamefanya nini zaidi ya ufisadi tu? Huyo Gachagua so alikutwa na hatia kwa ufisadi wa Mabilion ya Nairobi county?

Tusipende kukurupuka, Kama Odinga hafai haimaanishi Ruto ndio right choice!! Tutarudi hapa baada ya mwaka kufufua hizi nyuzi.
 
Hujajibu swali

Kwani katiba imeweka kiwango cha miaka ya mtu kugombea Uraisi huko Kenya?
swala lililopo kashindwa uchaguzi, kwa mtu wa umri wake ni busara zaidi kumwachia kijana majukumu.
 
Sasa ndo ameshashindwa, akubaliane na hali...
Gape la laki moja ndio kushindwa? Ruto mwenyewe kakiri hakuna aliyeshindwa uchaguzi maana margin ni ndogo sana ingekua gape kuanzia laki 5 ange concede ila kura laki zinaweza kupikiwa tu hata na Chebukati.
 
Huyu mzee apumzike tu ampishe kijana Ruto, miaka themanini unakuwa unatafuta nini.......dah!
Kenyatta si mlisema ni Rais kijana na Hendsamu.... Leo mbona mnajuta kumchagua!! Ruto naye mtarudi kulia Lia hapa baada ya ufisadi kutawala kote.

RAILA akomae uchaguzi urudiwe, ila fisadi asiachiwe ikulu.
 
Hapo vip!!
Raila Odinga amesema Chabukati ambaye no mwenyekiti was IEBC ni Dictator kwenye Tume.

Ila Binafsi nimshauri Raila yakwamba Ruto ni chagua la Mungu na Wakenya hatakaa mshinde kamwe
Source ya habari yako ni IPI,au umeamu tu kupost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…