Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini.
‘Tupatane Tuesday’: Youths plan new round of protests after Ruto Cabinet
The protesters have also called on MPs to reject the cabinet nominees or face street action.nation.africa
Huyo huwa hajitambui kabisa.Ameshazoea kuishi kidezodezo kwa kupiga domo na unafiki mitaani.Anayajua maisha ya kitaa huyo?Mpaka atakaporudi kupiga dufu ndiyo akili nazo zitamrudi lakini kama anazo kweli!Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.
Jana kwenye kusanyiko la vijana wa CCM anawaambia eti Gen Z wa huko Kenya wanajutia waliyofanya na kusifia wa huku Tanzania kuwa eti Wakenya wanawasifu kwa utulivu.
Natamani wampe neno moja tuu, aufyate
Huyo wa kupuuza wakimjibu atakimbilia anaonewa kisa yy zeruzeru.Mzee wa yanga alimjibu juzi 🤣🤣🤣jamaa kumbe alikua analewa harafu anabinuka kama tipa linamwaga mchanga sasa huyo kweli wakenye ndo wapoteze mda kumjibu🤣🤣🤣Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.
Jana kwenye kusanyiko la vijana wa CCM anawaambia eti Gen Z wa huko Kenya wanajutia waliyofanya na kusifia wa huku Tanzania kuwa eti Wakenya wanawasifu kwa utulivu.
Natamani wampe neno moja tuu, aufyate
Ungeweka na slums zao-Kibera, Mathare, pipeline, Kwa njenga.Sikilixa jinsi wakenya wanavyotuona kama Maiti
Rais wa sudan aliondolewa madarakani kisa bei ya mkate kuwa juu,leo hii yupo Sero anajutaHizi kauli nakumbuka alikuwaga nazo Rais wa Misri.
Alikuwa akijigamba kuwa watakaojipendekeza kuandamana atawaua kama panya.
Ni kweli alifanikiwa kuwaua lkn aliondolewa Ikulu.
Gaddafi naye akaja nazo nadhani alifikiri kuwa kuna mahali mwenzake alizembea lkn matokeo yake siyo tu aliuawa na yeye bali pia alidharirishwa.
Pengine ulikuwa hujazaliwa ila nimeona nikupe historia kidogo ijapo hayo yaliyowatokea na kutokea kwenye inchi hizo siyo ya kuigwa kama unavyoomba wewe yatutokee nasi.
Sasa unataka tuige upuuzi wa Kenya?Kuna mtu huku Tanzania anapitosha watu anaitwa Haji Manara.
Jana kwenye kusanyiko la vijana wa CCM anawaambia eti Gen Z wa huko Kenya wanajutia waliyofanya na kusifia wa huku Tanzania kuwa eti Wakenya wanawasifu kwa utulivu.
Natamani wampe neno moja tuu, aufyate