Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Sasa mnafaidikaje na hayo madhahabu?Teargass hawa ndio watu unaowaita wavivu, sijui Kenya kama mnayo dhahabu ila kilo 500 za dhahabu kwa mwezi kutoka kwa wachimbaji wadogo sio kazi sawa na mlizozioea hapo Kenya
Kilo moja ya dhahabu ni million 100
Sawa na 43,417.59 United States Dollar
Zidisha mara 500 halafu niambie hawa watu wanakuaje wavivu
Tanzania ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi, weka hilo kichwani.You don't have any audacity at all to compare KENYA TOTanzania.Tanzania is one of the poorest countries in the world only comparable to the likes of Haiti
Tanzania ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi, weka hilo kichwani.
Umasikini upi unaongelea hapa? Sababu zipo aina nyingi za umasikini, Tanzania ni nchi ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi mkubwa maana yake tumezipita nchi zaidi ya 48 kiuchumi Africa.Sasa mnafaidikaje na hayo madhahabu?
Mbona bado mpo ktk umasikini wa kutupwa?
Umasikini ipi waijua?Umasikini upi unaongelea hapa? Sababu zipo aina nyingi za umasikini, Tanzania ni nchi ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi mkubwa maana yake tumezipita nchi zaidi ya 48 kiuchumi Africa
In all aspect of life i.e Socially, politically, & EconomicallyUmasikini upi unaongelea hapa? Sababu zipo aina nyingi za umasikini, Tanzania ni nchi ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi mkubwa maana yake tumezipita nchi zaidi ya 48 kiuchumi Africa
Mere allegations. Can you substantiate your allegations?
Endelea kuotaIn all aspect of life i.e Socially, politically, & Economically
Nchi ya 8 au 9 kwa umasikini au? Kaangalie vizuri Mkuu. Halafu uje na proof hapa na siyo kuleta maneno mtupu hapa.
we can't be moved by mere allegations.
Keep that spirit up.View attachment 1241062
Tanzania inakua kwa speed sana na lazima tutaongoza Africa sababu tuna resource nyingi sana ambazo bado hazijawa exploited
Endelea kuota
Don't be surprised if we shoot to 75B GDP after this Barrick and Tanzania = TWIGA minerals cooperation starts official duties.keep that spirit up.
Nini kujaa? Japan Wilaya nzima inaenda na maji.Sioti naongea ukweli kwamba TZ ni masikini sana. Juzi tu mvua imenyesha mji mzima wa Dar ukajaa maji. Kujaa kwa maji kunatokana na miundo mbinu mibaya ambayo ni dalili ya umasikini.
HahahahahahahahahhDon't be surprised if we shoot to 75B GDP after this Barrick and Tanzania = TWIGA minerals cooperation starts official duties.
BTW Kuna around 2 gold smelting plants r about to be established one in Dodoma and another in Geita. Aside gold another minerals will be refined so even what is to produced by Barrick gold will be refined here! I see billions of dollars from smelters plants!Don't be surprised if we shoot to 75B GDP after this Barrick and Tanzania = TWIGA minerals cooperation starts official duties.