Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

Hii ni matokeo ya serikali kutosikiliza wananchi , najua washakaa vikao huko kujiandaa endapo litatokea tujiulize kwanini ikiwa wao ni wasafi hawana makando kando? Serikali za kirushwa zina ushenzi sana ndani yake hao madogo wa Gen Z nawaunga mkono na miguu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…