i like Uhuru. He holds a good vision for Kenya.
au wa nzoka nae nzokaOng'wana oshimba nang'we shimba.
Ingekuwa Tanzania matokeo ya urais ni baada ya siku saba!!! Hadi yachakachuliwe kwanza na tume!
Watanzania, kupitia uchaguzi huu wa kenya tunakitu cha kujifunza....hasa MaCCM na tume yao ya uchaguzi.
kwa vipi ndugu
Baba yake alikuwa rais. Dont you think urais utakuwa unafanywa wa ukoo?
It may also apply in Tz.
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
Fuatilia hapa kaka Watch CitizenTV Live! - Citizen TV - KenyaNI WAZI ODINGA NDO ATASHINDA KWAN IZO NI KURA ZA NGOME YA UHURU KWA WAKIKUYU TUSUBILI NYANZA, NAKURU NA MAENEO YA LUO, APO MTAONA KIMBUNGA CHA JALUo ODINGA
Nasiliza BBC live hakuna kitu kama hicho