maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Kwa mujibu wa matokeo ambayo yamekwishatangazwa mpaka sasa ni kwamba Kinyatta ameshapata kura 430,000 na mpinzani wake wa karibu Bwana Raila ameshapata kura 170,400
Chanzo: Daily nation
kweli kwasababu waliojiandikisha ni zaidi ya milion 10...Hayo ni matokeo ya awali na ni mapema sana kuanza kubashiri ushindi kwa mgombea yeyote.Kuna mamilioni ya Wakenya wamejiandikisha kupiga kura. Kuanza kuzungumzia matokeo ya kura 500,000 sidhani kama inatupa picha halisi ya matokeo.
Gap linazidi kuongezeka...Kenyatta 461,---odinga 311,---
wadau mpaka sasa kwa vituo vingi vilivyotangazwa the citizen na vinaendelea kutangazwa kenyatta anaongoza kwa kula nyng sn.
Odinga anaanza kupanda!! Sasa ngoja watoe zile za kambi ya Odinga uone kibao kitakavyojeuka!! It is too early to predict kuwa Uhuru ni kinara at only 8% of all votes!!!
mtoto wa simba ni simba!!
wadau mpaka sasa kwa vituo vingi vilivyotangazwa the citizen na vinaendelea kutangazwa kenyatta anaongoza kwa kula nyng sn.