Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Odinga atulizane. Kuendesha nchi si kitu rahisi. Amuunge mkono na kumsaidia kumpa ushauri na mengineyo mwenzake.

Kuendesha nchi si Kwa matakwa binafsi. Ruto, Gachagua na genge lao waliapa kutokumsikiliza. Hawana haki ya kutowasikiza wakenya. Jumatatu kwa jumatatu hadi akili iwakae sawa. Taabu iko wapi?

Kwamba kuungwa mkono si issue? Kwani democracy ni nini? Hukuwahi kusikia wengi wape vinginevyo watachukua kwa nguvu. Hiyo ndiyo demokrasia sasa. Wewe huna uungwaji mkono tambua kuwa huna hoja!
Uwingi wa watu au wafuasi hauwezi kuthibitisha jambo kuwa sahihi au ujweli. Usahihi na ukweli unabaki hivyo hivyo hata bila ya kuungwa mkono na mtu.

Hilo zee, limeshindwa chaguzi zote lilizoshiriki, halina what it takes to a be president, not presidential material.

Limekua kwenye serikali siku zote na halikuwahi kuwa na meaningful contribution kwenye poverty alleviation policies and strategies. Leo linakuja na baseless claims

Kama katiba, Kenya wanayo nzuri, inflation ni issue ya kidunia Kenya is not an exception. Hoja ni nini? Ni lizee jinga kabisa
 
Ya nini kwenda mbali:

Kwani hao wanatembea?

Cc: Mr Dudumizi
 
Kuwa na katiba nzuri si mwisho wa mapambano. Kupata nzuri zaidi mapambano lazima yaendelee.

Raila anaungwa mkono na mamilioni ya watu. Kukataa kusikiliza hoja zao hakuwezi kuwa halali.

Hawa wanataka kusikilizwa. Kwa nini wasisikilizwe? Nchi si Mali binafsi ya mtu au watu. Rejea kwetu Msoga boys na walamba asali.

Maisha yamekuwa magumu walamba asali wanasema si kweli. Vijana wa hovyo wanakenua.

Kongole Kenya vijana wa hovyo hovyo kama kina joni wanaweza kuwa si wengi kama kwetu.
 
Hizo ni hoja za kitoto, maisha hayajawahi kuwa rahisi tangu mwanzo wa ulimwengu. Serekali bado ni mpya, inaweka mipango yake,huwezi kudai imeshindwa wakati ndiyo kwanza inaanza. Utampimaje mtu na kumuamulia arbitrary kwamba kashindwa wakati hana ata miezi sita madarakani?

Lizee lijinga sana
 
Siasa siyo uadui ndio sababu CCM wampongeza Mbowe!

Tofautisha pongezi za dhati na pongezi za kinafiki.

CCM ndiyo waliotaka kumfunga. Wakapotea na mlinzi wake Lijenje, kusikojulikana.

Ajenda zao za kumng'oa kwenye uenyekiti CDM nani asiyezijua?

Mengine haya si ambieni labda ndege wa angani watawaelewa?
 
Za kitoto? Basi mwulize Ruto, Gachagua au genge lao la Kenya Kwanza kuwa hadi hapo kwa muziki ule wanasema je?

Tukutane jumatatu kwa ajili ya nyungu season 2.
 
Za kitoto? Basi mwulize Ruto, Gachagua au genge lao la Kenya Kwanza kuwa hadi hapo kwa muziki ule wanasema je?

Tukutane jumatatu kwa ajili ya nyungu season 2.
Walisha muambia apeleke schedule ya maandamano ili wayalinde.
 
R.A.O is so daring!

Anajua anakoipata Nguvu ya kufanya hicho anachokifanya

Alichofanya Uhuru kwa majeshi kabla ya kuondoka haukua mpango salama

Ruto amwombe Mungu sana na asimame kwenye mapenzi ya Mungu
 
Walisha muambia apeleke schedule ya maandamano ili wayalinde.
Schedule ilipelekwa. Huu ulikuwa ujanja ujanja wa akina Ruto kujaribu kuyazuia.

Sasa wanayo ya kudumu (hata wewe unaijua). Kila jumatatu hadi kieleweke.

Ngoja tusubiri visingizio vipya.
 
vijana wa tz ni wa hovyo kabisa,hawajiamini,wako busy mitandaoni kuunga mkono mafisadi na ufisaji.wanatumiwa vibaya na wanasiasa bila kujua nini hatma yao huko mbeleni.wengine ni maskini wa kutupwa lkn wamerubuniwa na watoto wa familia za kifisadi kuunga mkono ufisadi.
 
Anajua anakoipata Nguvu ya kufanya hicho anachokifanya

Alichofanya Uhuru kwa majeshi kabla ya kuondoka haukua mpango salama

Ruto amwombe Mungu sana na asimame kwenye mapenzi ya Mungu

Raila nguvu anaipata kwa watu:

4. Hakuna nguvu iliyo kuu kuizidi nguvu ya Umma.

Hii iko kwenye mada. Misahafu inasema:

"Vishindo vya wakoma viliwakimbiza washami."

Ndiyo hii sasa.
 
Schedule ilipelekwa. Huu ulikuwa ujanja ujanja wa akina Ruto kujaribu kuyazuia.

View attachment 2560052

Sasa wanayo ya kudumu (hata wewe unaijua). Kila jumatatu hadi kieleweke.

Ngoja tusubiri visingizio vipya.
kama watu hawaendi mashambani kulima, au kwenye shughuli zao za kujipatia kipato wako barabarani wanaandamana, maisha yataachaje kuwa magumu? Huyo mzee anafikiria kwa kutumia makalio
 
kama watu hawaendi mashambani kulima, au kwenye shughuli zao za kujipatia kipato wako barabarani wanaandamana, maisha yataachaje kuwa magumu? Huyo mzee anafikiria kwa kutumia makalio

Kwamba wewe unafikiria kwa kichwa ila Raila?

Si uweke japo CV yako hapa tuione ndugu?
 
Kwamba wewe unafikiria kwa kichwa ila Raila?

Si uweke japo CV yako hapa tuione ndugu?
Iko wazi sana, nina elimu yakutosha na akili nyingi. Kama unabisha, jiunge na huyo baba yako muandamane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…