Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Umesikia Ruto, Gachagua au mkenya yeyote akisema pana ukabila hapo? Kalonzo, Karua, Wajakoya au Uhuru ni wajaluo? Ujaluo unaujua wewe Tandahimba huko?

Kulikoni kuonyesha umburula wako hivi mjomba?
 
WAAFRICA ni WAJINGA sana.

Mimi kwangu kuandamana ni UPUMBAVU wa Hali ya JUU.

KWANINI USIKAE MEZA MOJA NA UONGOZI MKAMALIZA TOFAUTI???

naamini sana Meza ya mazungumzo.

If a door is shut, attempts should be made to open it; if it is ajar, it should be pushed until it is wide open. In neither case should the door be blown up at the expense of those inside.

Julius Nyerere
 
Kama nyote mkiwa na nia Thabiti bila janja janja mazungumzo ni njia bora kabisa kabisa !! Maana hata Uhuru wa Nchi hii ulipatikana kwa njia ya mazungumzo tu !! It can be done ✔️ But no janja janja !!
Nikiazima maneno ya Mwalimu:

"If a door is shut, attempts should be made to open it; if it is ajar, it should be pushed until it is wide open. In neither case should the door be blown up at the expense of those inside."

Hapo ndipo sehemu ya maandamano inapokuja.
 
Moi alimshindwa Raila kipindi Kenya iko zama za giza..

Kibaki akanyoosha mikono, Raila akaongoza upinzani kuipatia Kenya katiba mpya

Uhuru akasanda, akafanya 'handshake' na Raila

What makes Ruto think he can contain Raila?
 
Kama first option ikishindikana ! Lakini haiwezi kushindikana kama hakuna janja janja !! (Delaying tactics). !
 
Moi alimshindwa Raila kipindi Kenya iko zama za giza..

Kibaki akanyoosha mikono, Raila akaongoza upinzani kuipatia Kenya katiba mpya

Uhuru akasanda, akafanya 'handshake' na Raila

What makes Ruto think he can contain Raila?
Kwakweli nakumbuka Mwai Kibaki ilibidi aapishwe usiku umeshaingia kwa kiwewe !!
 
Kama first option ikishindikana ! Lakini haiwezi kushindikana kama hakuna janja janja !! (Delaying tactics). !
Ruto, Gachagua na genge lao wamekataa mazungumzo kama first option.

Makwetu wapo waliodai Katiba Mpya si kipaumbele chao.

Si unaona Raila anawapeleka jumatatu kwa jumatatu hadi akili iwakae sawa?

Hata Mbowe na maridhiano ni hivyo hivyo.

Angalizo: hatutavumilia janja janja zao hadi kurudi kwa nabii Issa kwa mara ya pili.
 
Issue sio makamanda. Issue ni sisi watanzania. Unafikiri mtanzania ataandamana akitishiwa bomu la machozi? Sisi waoga, period. Naomba waniprove wrong. Nitafurahi.
 
Duh !!
 
Makamanda wepi tena hao jamani?
Kumbe TZ tuna makamanda na wengine hatujui🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…