Nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa hii comment yakoNaipongeza serikali ya CCM kwa kuendeleza Umoja na Mshikamano, matunda tunayaona
Matunda ni pamoja na vijana hawaoni sababu ya kuandamana, vijana hawaoni sababu ya kujikwamua kutotka ktk matatizo yanayo wahusu bali ni mafundi wa kuelezea matatizo ya wengine 😂
Nadhani yeye anategemea zaidi jeshi na polis. pamoja na tumeJana tu kuna mtu humu tumebishana nae nikamwambia Ruto hajui kucheza na akili za watu ww Umetoka kuwapoza kodi ulio taka uwakate umekataa mswaada wake hapo hapo unawaambia nitapunguza mishahara ya wafanyakazi wa kenya yaan unatia petrol kwenye kuni.Mm nasema Ruto hatoboi huu mwezi lazima kuna jambo tutashuhudia watamchomoa urais si mda mrefu
Wananchi hawamtaki hiyo tume na jeshi nao watakua mafala kama watamlinda maana nchi inaharibika watu wanachoma mali wanaharibu vitu bora wamfurushe zakayoNadhani yeye anategemea zaidi jeshi na polis. pamoja na tume
HamiaMimi kama mtanzania natamani kuhamia Kenya kwa kuwa wakenya wameonesha kujitambua kwenye kudai haki tofauti na wtz.safi sana wakenya
Wakenya wanachochewa na watanzania ambao ni key board warriors waharibu nchi yao.Jana tu kuna mtu humu tumebishana nae nikamwambia Ruto hajui kucheza na akili za watu ww Umetoka kuwapoza kodi ulio taka uwakate umekataa mswaada wake hapo hapo unawaambia nitapunguza mishahara ya wafanyakazi wa kenya yaan unatia petrol kwenye kuni.Mm nasema Ruto hatoboi huu mwezi lazima kuna jambo tutashuhudia watamchomoa urais si mda mrefu
Sawa mke wa rutoWakenya wanachochewa na watanzania ambao ni key board warriors waharibu nchi yao.
Hawa watanzania ambao baba wa taifa la kenya mzee Kenyatta aliwaita mait ndio sasa wajifanye kushabikia vurugu za vijana wa kenya? Ya kwao yanawashinda leo wakawe waalimu wa kuwatabiria na kuwaelekeza wakenya.
Watanzania wanachojua ni mabishano ya simba na yanga, orodha ya wapenzi wa wasanii maarufu waliowahi kutembea nao na umbea basi, nje ya hayo hawajui kitu kwa uhalisia wake.
Rutto haondoki madarokani ng'o
AaahaaaNimebubujikwa na machozi ya furaha kwa hii comment yako
Kitendo Cha kukubali kurudisha muswada bungeni ni ushindi mkubwa kwa Genz Sasa Ruto anaondoka ikulu muda na WAKATI wowote alifanya kosa kubwaKenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba.
View: https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D
Anti-government protests persist despite Ruto’s olive branch
As the youths plan to return to the streets, Nairobi business owners have raised concerns.nation.africa
Imagine na tozo ya umeme wamejiamulia kupandisha bila taarifa tumenyamaza tu, watizii sisi ni wajinga sanaMimi kama mtanzania natamani kuhamia Kenya kwa kuwa wakenya wameonesha kujitambua kwenye kudai haki tofauti na wtz.safi sana wakenya
Hapo ndo alikosea. Alipaswa kukomaa kama dp weldiKitendo Cha kukubali kurudisha muswada bungeni ni ushindi mkubwa kwa Genz Sasa Ruto anaondoka ikulu muda na WAKATI wowote alifanya kosa kubwa
Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba.
View: https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D
Anti-government protests persist despite Ruto’s olive branch
As the youths plan to return to the streets, Nairobi business owners have raised concerns.nation.africa