Ni kweli kabisa, mimi nashangaa sana mijitu inalalmika kweli eti imeathirika wakati wana nchi zao, huo ni upumbavu uliopitiliza,kuna dada mmoja msomali yupo south Africa nimemsikia juzi analalamika kweli wakati kwao kuna alshabab. Trump katika amri yake yeye ametaja nchi ambazo ni tishia kwa kurecruit magaidi lakini hakutaja dini, sasa wanzangu wale wenye misimamo wameongezea maneno ambayo hakusema. Kuna nchi kubwa kabisa zina uwezo lakini zimelalamika duuuh inasikitisha sana.Hizo ni hesabu za 2013 za wahamiaji Marekani kutoka nchi chache za Afrika; jumla inaonesha walikuwa 1,488,000! Je, leo 2017 wanaingia wangapi Marekani sio kutokea Afrika tu bali duniani wakiongoza na waarabu? Trump ana haki ya kuwa mkali; yuko sahihi kabisa.