Kama kweli amekubali kushindwa mbona hajajiuzulu?Sijawahi sikia mahali popote pale Rais akikiri kufeli..kushindwa. Hii na zaidi ya Democracy.
Ruto ana kitu. Tumpe muda.
He simply conceded the defeat.
View: https://youtu.be/xR-JhwmvAog?si=Z14Rx4FDwFa9a_YW
Eh!Sawa na kipindi samia anaingia, alikuta miradi lukuki na hela hakuna, ikabidi awe ana tia tozo tu kila anapo ona
Ulimsikia Kipchumba Murkomen anasema anavaa saa ya shillingi ngapi, au umemsikia huyu?...Alafu ni kama laana. Hivi magari 1000 ktk msafara wa Rais, ya nini.!?