Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimemsikia Rais akikubali kushindwa

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimemsikia Rais akikubali kushindwa

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Sijawahi sikia mahali popote pale Rais akikiri kufeli..kushindwa. Hii na zaidi ya Democracy.
Ruto ana kitu. Tumpe muda.

He simply conceded the defeat.

 
Ukiamua kutumia akili, matatizo ya kenya sio ya Ruto ni matatizo ya kujenga nchi kwa kutegemea madeni.

Sawa na kipindi samia anaingia, alikuta miradi lukuki na hela hakuna, ikabidi awe ana tia tozo tu kila anapo ona 😀

hivyo acheni ruto amalize muhura wake, halafu mkampige chini kwenye boksi la kura.
 
Sawa na kipindi samia anaingia, alikuta miradi lukuki na hela hakuna, ikabidi awe ana tia tozo tu kila anapo ona
Eh!
Shida kubwa ya African Leaders ni kuishi Extravagantly on the expenses of the poorest majority.

Alafu ni kama laana. Hivi magari 1000 ktk msafara wa Rais, ya nini.!?
 
Back
Top Bottom