Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Wanakusumbua mzee baba yamekariri kinoma,Halafu kwanza mwanza ni milima mji umejengwa sehemu tofauti tofauti.... Hata aerial yake haiwezi chukua eneo kubwa vizuri..... Aliyewahi fika ndo atanielewa
Hawayawezi masomo ya wanaume hayo...... Wenyewe wape tu kiingereza cha Kikuyu.....Walikuwa hawafundishi masomo ya msingi sana ni Lugha tu ya mabeberu, na walikuwa aged 25_35 kwa kukadilia, yaan nyie huko hakuna mnacho weza kujivunia zaidi ya lugha ya wakoloni 😂😂😂😂😂😂😂kama unabisha uje hata wewe uombe kufundisha physics, Mathematics, chemistry au Biology uone kama utalamba job 😀😇😇🙏🙌🙌
Ni wakupuuzwa tu...Wanakusumbua mzee baba yamekariri kinoma,
Mombasa Ni Dar bila Gorofa tatu na BRTBwahaha!!mombasa uifananishe na mwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naupa aerial za kibabe tuView attachment 1310630View attachment 1310631
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti picha...
Niletee aerial view yenye inaonyesha eneo kubwa tuone maajabu hapo mwanza...
Size yenu ni kisumu na nakuru hko, mombasa tutajenga towers nne tuwe juu ya dar...manake dar ina towers tatu, na hicho ndicho dar imeishindia mombasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti picha...
Niletee aerial view yenye inaonyesha eneo kubwa tuone maajabu hapo mwanza...
Size yenu ni kisumu na nakuru hko, mombasa tutajenga towers nne tuwe juu ya dar...manake dar ina towers tatu, na hicho ndicho dar imeishindia mombasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa!!sasa huu ni uchafu gani umeleta jamani[emoji1787][emoji1787]
Yani wacha nicheke tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro, nimewapa picha tatu tu, jamaa bado wameshindwa kujikomboa...Mombasa Ni Dar bila Gorofa tatu na BRT
Excuses, heheeeee!! Si hata sao paulo brazil pia si ni mlima mji, lkn mbna inachukulika picha freshi tu kutoka angani..Halafu kwanza mwanza ni milima mji umejengwa sehemu tofauti tofauti.... Hata aerial yake haiwezi chukua eneo kubwa vizuri..... Aliyewahi fika ndo atanielewa
Wajinga hawa, eti kaniletea uzi..nikimletea zile nyuzi za mombasa si ndio atakimbia hapa..Mombasa equals Dar, licha ya vigorofa vitatu Dar., outside Dar in Tz hakuna town that can beat Eldy, Naks Vegas(Nakuru) or Kisumu! Hakuna!!, organization, estates, annual economic revenue, hakuna hata moja! If Kiambu county pekee collects more revenue than Dar with a population ya over 5 million, aibu tupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona kitu bado, labda ukiniletea kitu km hiki nje ya cbd ndio tutaanza kujadili...sawa jombaAerial views ndo maana nimekupa Uzi.......Au unafikir nimekupa uone hoteli...... Acha kupotezea watu muda na hayo mahaba yako....
Usisahau form4 wa kenya akija hko anaingia chuo kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walikuwa hawafundishi masomo ya msingi sana ni Lugha tu ya mabeberu, na walikuwa aged 25_35 kwa kukadilia, yaan nyie huko hakuna mnacho weza kujivunia zaidi ya lugha ya wakoloni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama unabisha uje hata wewe uombe kufundisha physics, Mathematics, chemistry au Biology uone kama utalamba job [emoji3][emoji56][emoji56][emoji120][emoji119][emoji119]
Kwhyo mwanza ina cbd kubwa kuliko ya dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tushakuambia huwez cover mwanza CBD in a single photo, otherwise uchukue picture kutoka juu sana, narudia, kutoka juu sana na hutapata uhalisia sababu hata jengo lenye 10f utaona kama nukta, Kisumu saizi yake iringa maana hata Dodoma iko juu now days
Km hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tushakuambia huwez cover mwanza CBD in a single photo, otherwise uchukue picture kutoka juu sana, narudia, kutoka juu sana na hutapata uhalisia sababu hata jengo lenye 10f utaona kama nukta, Kisumu saizi yake iringa maana hata Dodoma iko juu now days
Tumia hata akili ya kawaida tu sio lazima utese ubongo wako 😂Geographical nature ya mwanza ni hills ndio maana ni vigumu kupata Picture itakayo onyesha CBD ya mwanza bila kuacha baadhi ya maeneo, otherwise uende kuchukulia angani hukooooo!! 👆kitu ambacho hutapata uhalisiaKwhyo mwanza ina cbd kubwa kuliko ya dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kipofuSijaona kitu bado, labda ukiniletea kitu km hiki nje ya cbd ndio tutaanza kujadili...sawa jombaView attachment 1310934
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitafuta kama hii kwa mwanza lazima baadhi ya maeneo yafichwe na milimaKm hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1310937
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapo ni nje ya CBD 😟wakati inaonekana yoteSijaona kitu bado, labda ukiniletea kitu km hiki nje ya cbd ndio tutaanza kujadili...sawa jombaView attachment 1310934
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakija chuo vilaza tena 😁😁Usisahau form4 wa kenya akija hko anaingia chuo kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Class8 wa huku pia vile vile ataingia form2, sasa wewe mlete class 7 wa bongo kenya km hakurudishwa mpka la tatu au la nne...
Jiulize kw nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app