Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
😂😂😂umeanza kujitekenya mwenyewe,kama kisii hiko hivyo basi inaizidi Mombasa old town.Hizi picha unaweka hapa ni level za Kisii. Hata huna aibu kituonyesha hizo uninspiring pictures.
View attachment 1769286
😂😂😂umeanza kujitekenya mwenyewe,kama kisii hiko hivyo basi inaizidi Mombasa old town
Dpresident kuna ghorofa refu sana hapo mtaa wa uhuru jijini mwanza linajengwa nazan kwasasa limefika si chini ya 12 floor hivi ni la nani?
Kitu najaribu kukuambia ni kuwa Mwanza haiezi hata fika level ya Kisii Town.😂😂😂umeanza kujitekenya mwenyewe,kama kisii hiko hivyo basi inaizidi Mombasa old town.
Dpresident kuna ghorofa refu sana hapo mtaa wa uhuru jijini mwanza linajengwa nazan kwasasa limefika si chini ya 12 floor hivi ni la nani?
Sijafahamu ni lanani ila nitajaribu kufatilia.Dpresident kuna ghorofa refu sana hapo mtaa wa uhuru jijini mwanza linajengwa nazan kwasasa limefika si chini ya 12 floor hivi ni la nani?
Kitu najaribu kukuambia ni kuwa Mwanza haiezi hata fika level ya Kisii Town.
😂😂😂brother ikiendelea kuangaika na Mwanza utaumia mambo niliyopost hapa ni manispaa moja tu ya Nyamagana,nikiamua kufanya fujo kwa Kuiongeza ilemela manispaa utapoteana nao wakenya wenzio😂😂😂Kitu najaribu kukuambia ni kuwa Mwanza haiezi hata fika level ya Kisii Town.
Kusoma ndio hujui ama? Mwanza ni level ya Kisii. Actually it's slightly below Kisii.😂😂😂brother ikiendelea kuangaika na Mwanza utaumia mambo niliyopost hapa ni manispaa moja tu ya Nyamagana,nikiamua kufanya fujo kwa Kuiongeza ilemela manispaa utapoteana nao wakenya wenzio😂😂😂
Sawa kiongoziSijafahamu ni lanani ila nitajaribu kufatilia.
Mwanza ni level nyingine kiongozi.Kusoma ndio hujui ama? Mwanza ni level ya Kisii. Actually it's slightly below Kisii.
Tatizo la huyo jamaa ni lugha inabidi Max Melo aweke mtu wa kutafasili la sivyo tutakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu.Mwanza ni level nyingine kiongozi.
Hahaha, inaonekana hujui Mombasa vizuri. Let me give you a glimpse of Mombasa in pictures.
View attachment 1768899View attachment 1768901View attachment 1768904View attachment 1768906View attachment 1768907View attachment 1768911View attachment 1768914View attachment 1768915View attachment 1768916View attachment 1768918wabongo
Dpresident, Kitombile na baadhi ya hawa wabongo wengine wanafik watajua hawajui.....Hahaha, inaonekana hujui Mombasa vizuri. Let me give you a glimpse of Mombasa in pictures.
View attachment 1768899View attachment 1768901View attachment 1768904View attachment 1768906View attachment 1768907View attachment 1768911View attachment 1768914View attachment 1768915View attachment 1768916View attachment 1768918View attachment 1768919View attachment 1768922View attachment 1768923
Kiwanda kinejengwa pande zipi?
Kapicha basi wakuuDpresident kuna ghorofa refu sana hapo mtaa wa uhuru jijini mwanza linajengwa nazan kwasasa limefika si chini ya 12 floor hivi ni la nani?
Kipo sabasaba karibu na chuo cha DITKiwanda kinejengwa pande zipi?
Nyie ndio wanafiki sisi tunawaambia ukwel kuwa Mwanza city na ndio kitovu cha biashara cha maziwa makuu.Dpresident, Kitombile na baadhi ya hawa wabongo wengine wanafik watajua hawajui.....
Picha zipo kwenye thread tafuta!Kapicha basi wakuu
Ule ni utani wa Wagogo na Wasukuma...Maneno ya mheshimiwa spika Kwa wakazi wa mkoa maskini afrika [emoji26]
Acheni kuweka masufuria[emoji1787][emoji1787]View attachment 1770442
Watu wa mwanza mnatuaibisha Sana😅Ule ni utani wa Wagogo na Wasukuma...