Kiingereza cha Kimarekani chamkanganya Ruto

Ruto naye aache mbwembwe sasa, mbona kinaeleweka?πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
Hapo Ruto kaamua kufurahisha genge ila wabongo kwa ujinga wao wanajua kweli hakuwa anamuelewa huyo dada🀣🀣
Ruto hata akiwa nyumbani Kenya hotuba zake nyingi ni za kimombo...labda angekuwa huyu malkia wetu ndo angeingia chaka kimtindo!!.
 
Kuna wahindi wakizungumza kiswahili Mbona utaomba mkalimani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni kukuza tu mambo, wala hakuna vha ajabu hapo!! Hata leo hii mchukue mtoto wa kizaramo aliyekulia bungu, aende kanda ya ziwa uone atakavyowapa shida watu kumuelewa, anaongea kiswahili lakini ni kigumu kukielewa.
 
Kuna wahindi wakizungumza kiswahili Mbona utaomba mkalimani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
Lakini hawaoni tatizo na tunawachukulia poa tu..

Sema sisi tunatabia ya kujidharau na kuwadharau watu kiasi kinachopelekea wengi kuona aibu kuendelea kujifunza..

Tuna baki na ile daaah hapa nikikosea nitaonekana vipi na elimu yangu hii
 
Yes,
ni Muhimu kutokua wanyonge au kuona haya kukosea lugha isiyo ya kwetu. Tuvae ujasiri tu kwamba tunaweza kukosea na hapo tutajifunza zaid πŸ’

sasa hapa kwetu, lugha si yetu, ukikosea hata spelling tu jinsi tunavyokosoana dah! mtu mnyonge haiwezi rudia tena kuandika kiingereza 🀣
 
Lakini hawaoni tatizo na tunawachukulia poa tu..

Sema sisi tunatabia ya kujidharau na kuwadharau watu kiasi kinachopelekea wengi kuona aibu kuendelea kujifunza..

Tuna baki na ile daaah hapa nikikosea nitaonekana vipi na elimu yangu hii
Hata Kiswahili akiongea mtu mbobevu, lazima tutafute kamusi.
 
Mbona ameeleweka tu jamani!
She was just introducing herself, her mother and their company in kenya.
Ukitaka kuwaelewa wamarekani, penda kuwasikiliza mara kwa mara!
 
achilia mbali kiingeleza kiswahil cha chuga mzanzibar aelew pia kuna kiswahil cha masela na wauni (32 wachekelea na 45 kikosi ) nitofauti na kiswahili cha nchi nzima kwaiy izi lugha zinategemeana
 
Nilifanyiwa interview na mturuki ile ngeli yake nikawa namwambia pardon, pardon. Akaniuliza nina tatizo la kusikia, nikamjibu hapana. Akaniuliza mbona pardon pardon ziko nyingi, nikamwambia tena pardon. Alicheka kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…