Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.

Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.

Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
We dada una akili sana sema basi tu. Mie ni mmoja wa mashabiki wako
 

You have left out Macadamia nuts...Kenya is the 3rd largest producer after Australia and South Africa ,
lakini hawa watu na mbwe mbwe zao, sijui wanaonanga Kenya tumelala tu...
Only that we don't sell them agricultural products so wanafikiria hatuzalishi chochote
 
sisi tumepeleka uholanzi hatujatangaza ktk media. Kenya mnapenda misifa , dedication wimbo kwenu , sifa za kijinga by wagosi wa kaya
 
Very true, I have left out a lot including beef products which we export to the middle east.
View attachment 1421433sisi tumepeleka uholanzi hatujatangaza ktk media. Kenya mnapenda misifa , dedication wimbo kwenu , sifa za kijinga by wagosi wa kaya
Kenya controls 38%-40% of the european cut flower market, about 20% of the fresh vegetable market in europe and more in the UK and about 9% of the fresh fruits market in europe and 17% in the UK. What market size does Tanzania control?
We also control about 20% of the world tea market with china and india controlling about 50%. What market size does Tanzania control in the world tea market?
 
Unaendelea kudhihirisha kwamba hufahamu lolote kuhusu Kenya na unapayuka payuka tu. Wameru wa Kenya na Tz wapi na wapi? Wameru wa Kenya na wameru wa Tz hawama uhusiano wowote ule. Afadhali ungesema Ethiopia, kwasababu hiyo ndio nchi ambayo wanakaribiana nayo upande wa pili wa Ml. Kenya kule Isiolo. Alafu unajua GEMA inamaanisha nini? Gikuyu, Embu Meru Association, wakikuyu wameru na waembu hawana tofauti zozote kilugha na kitamaduni. Tena ni grouping ya watu ambao wote wanaishi maeneo ya Ml. Kenya na mlima huo kwao ni makao ya Mungu wao Mwene-Nyaga kwa kikikiyu, kiembu na kimeru pia.
 
Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.

Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.

Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
Uongo mtupu. Sisi tunapanda matunda na mboga kwa wingi tu.
 
Ebu wekeni sawa ni msaada au biashara?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Sasa mbona nyie wenyewe mnalia njaa.
Hii imekaaje?
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 

in terms of Agricultural output, Kenya really punches above its weight...
Tanzanias should be ashamed to compare themselves to us.... wanafaa kuwa level ya South Africa in output
 
[emoji16][emoji16]mnajua nyie wakenya mna vichekesho sanaa
Acha kuuliza maswali, wewe jua tu kwamba TUNAWALISHA mabeberu. πŸ˜€

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
[emoji16][emoji16]mnajua nyie wakenya mna vichekesho sanaa
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Huo ndio msamiati ambao watz huwa mnaupenda sana, TUNAWALISHA wale na wale pia. Ndio maana nikashangaa leo unauliza kama ni msaada au biashara.
 
Uongo mtupu. Sisi tunapanda matunda na mboga kwa wingi tu.
Nyinyi mna mnapenda mboga, Hilo siyo tatizo Kwa hakuna asiuependa.mboga. lakini tatizo hamna huko mboga zaidi ya sukuma wiki tu. Matunda mpaka mje kuyanunua Tanzania. Machungwa, mananasi, embe, ndizi mnanunuwa Tanzania. Tena afadhali watu wa pwani ya Kenya kidogo, Hilo Wana matunda matunda kiasi, pwani wana zile apple mangoes na viembe vingine kidogo na nazi kiasi. Ardhi yenyewe ya kulima pwani mnayo? Labda Wakikuyu wale wenye uhusiano na koo zilizoshika madaraka huko (ndiyo wenye pesa nje ya wazungu, Waarabu na wahindi) kidogo wamshheinunua na iliyobaki ya Salehe nguru.
 
Acha ujinga,
Stories za vijiweni peleka Tanga,
Kuja Na FACTS only.
 
Ona ulivyo mshamba auntie, unazungumza kuhusu matunda ya msimu wakati wakenya wanazungumza kuhusu kilimo biashara? K.m. 80% ya maparachichi ya export nchini Kenya yalitoka kwenye gatuzi moja tu la Murang'a. Maparachichi ya export ni Hass Avacado sio hayo ya uswahili ya kusubiriwa yadondoke au yakomae mwaka mzima. Wakulima wa Kenya wanakuza matunda ya export kwa contract kutoka exporters. Murang'a avocado farmers get Sh88 million
 
Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…