Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

Maparachichi ya kutoka wilaya ya SIHA yanapitia Bandari ya Mombasa kwenda kwenye Masoko ya nje na hawa wakenya wanaingiza hizo exports kwenye takwimu zao!!!
Avocados don't get imported or exported through ports wivu utakuuwa
 

Tanzania has sold over 89,000 tonnes of maize to neighbouring countries​



MONDAY MAY 03 2021​


Stacks of maize in bags In Rukwa. The main task of NFRA has been buying and stocking maize to ensure food security. Later on the maize is sold to millers, other entities and Tanzanians in general. This has worked well for years, but for how long can it go on? PHOTO|FILE

Summary

  • NFRS has procured over 73,000 tonnes worth over Sh48 billion between May and December 2020.


By Louis Kalumbia
More by this Author

Dodoma. Tanzanian farmers and traders sold 89, 725.35 million tonnes of maize in Kenya, Burundi and Democratic Republic of Congo (DRC) between July 2020 and December 2020, the Parliament was told.

Also, the Cereals and Other Produce Board (CPB) has bought 24, 829.17 tonnes of maize from Farmers.

The ministry also said the National Food Reserve Agency (NFRA) purchased 73,831.15 tonnes of maize worth Sh48.42 billion from farmers and their respective groups between May and December 2020 from all eight zones.

Deputy minister of Agriculture Hussein Bashe released the figures on Monday, May 3, 2021 when responding to a question from Special Seats MP, Dr Pindi Chana (CCM-Njombe Region) during the

Question and Answers session.

Dr Chana sought to know how the government was organized to look for reliable maize markets for Njombe farmers.

Speaking at the Parliament, Mr Bashe said, 11,004 tonnes of maize purchased by NFRA from the eight zones came from the Makambako zone that constitute Njombe Region that produced 332,457 tonnes of maize in the 2019/20 season.

"In the 2021/2022 fiscal year, the government is considering to introduce bonded warehouses in countries with high markets of agricultural produce including China, Saudi Arabia, Vietnam, Democratic Republic of Congo (DRC) and South Sudan in order to preserve and advertise agricultural produce something to easen selling of the produce in respective countries," he said.

Earlier, Mr Bashe outlined four issues including connecting flight farmers with maize processors producing flour and livestock feeds as well as the government purchasing maize through the NFRA and CPB.

"Other measures are reaching agreements with other countries like Kenya, DRC, South Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi and ensure transporters are given necessary services immediately including permits," he said.

He said in the 2020/21, Njombe was connected with the Silverland Company that managed to purchase 40,000 to 50,000 tonnes of the produce.


 
Njombe, Rungwe, pekee inatosha kuwajibu. kwa sasa tunaexport sana matunda hayo na tunalima kwa wingi sana. kwa habari ya kilimo kenya haitakiwi kabisa kujibishana na tz, tafuteni kitu kingine, labda English ndio mtatushinda sio kilimo.
 
Na izo parachichi wanazichukua moshi.. kisha wakenya wanakuwa wauzaji ila kule moshi rombo wanapigia mbwa
 
Jamaa mbona donge hilo, tena kiazi chenyewe kikubwa km nazi vile[emoji23]
Mbona wapitishie kenya hzo za nje na wakati kumbe jnia tayari inasafirisha kwneda netherlands..
Taha inadeal na multiple companies na inaload and offload mizigo kwenye bandari zote za East Africa na Airports zote

Hii ina maana kwamba Tanzanian companies ni multitasking na ina uwezo mkubwa wa kutosheleza majitaji ya home and away, pesa haisusiwi

Cha nyumbani tunakipiga na cha ugenini tunakipiga
 
Acha ujuha wewe[emoji23][emoji23] tuletee taarifa mzigo wao ukiwa jkia kuelekea netherlands km vile ulivyoleta ke jnia
 
Man!! what kind of math is this uñatuaibisha


Ungefanya hivi.

Let's say mauzo ya first quarter ya mwaka jana yalikuwa x sasa basi

X+0.93x= 4.26

1.93x= 4.26
X= 4.26/1.93
X = 2.207...... B hayo ndo mauzo ya previous year kwenye quarter one.


IT mbobezi!! Unazingua
 
😂😂😂😂 Rudisheni huyo jamaa wenu wa IT back to maths class.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rudisheni huyo jamaa wenu wa IT back to maths class.
Kanishangaza sana hasa pale alipojiita mwanasayansi Na IT mbobezi.

Katudhalilisha sana aisee. Lakini nisimseme sana yawezekana alikuwa amelewa pindi alipokuwa akifanya hesabu hizo au alikuwa Na msongo wa mawazo .[emoji23][emoji23].
 
Maparachichi ya kutoka wilaya ya SIHA yanapitia Bandari ya Mombasa kwenda kwenye Masoko ya nje na hawa wakenya wanaingiza hizo exports kwenye takwimu zao!!!
Huu ni upumbavu. 25 yrs ya ujamaa, imetuathiri kwa upande mwingine. Hii dunia ni ya mapambano, ukilemaa na kulaza ubongo utabebewa mali yako na hata kutawaliwa kabisa. Maendeleo si lelemama. Why tuzalishe sisi halafu major exporters wawe wao!? Maana yake tumelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…