Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

Kwanza kubali we ni PUMBAVU!
Kichwani una nini tofauti na kamasi?
huwezi ukatuaibisha hivi tukakukalia kimya.
Mzee ndio ulikuwa unanisubiri kuwa umepata ka nafasi.
Poa. Naliweka jina lako.
hydrogen tutakutana humu humu tu. Nikikukuta usikasilike maana umeamua kuwa mtani wangu.
 
90 percent ya parachichi zinazotoka Kenya kwenda nje zinatoka Tanzania
Nimekuwa nikisoma reply za TZ wengine nikajua wanavutanga Bangi sana sana😃 Yani unataka kumaanisha wakulima wa Avocado Kenya wanalipwa Bure,ama munathani sisi hatuna wakulima Bongolala hizi🤣ATI hamna hii hamna Ile,wivu tupu na ndo inafanya mpaki palepale wengine wakisonga mbele.
 
ha ha avocado hapa tumelima kiasi cha haja.. mkulima mmoja hapa Mangu amepanda mimea 20,000 .. sasa yeye anashindana na Kakuzi ..
anauza ulaya moja kwa moja.. hatumii agents or brokers..

Sikiza maneno hapa


Bongolala bado wanafikiri tunanunua avocado kwao 😀😀
 
Wewe taarifa ya Tanzania uliyoleta ilikuwa kutoka jwenye official website? Watanfanyika si mko na mauchungu? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…