They're a a confused gullible bunch. These are the same idiots that believed there was no coronavirus in tanzania because they prayed. It's really mind boggling how they never question whatever their govt tells them.
Naona mleta mada ulishakaririshwa unafiki,uzandiki na uongo na Mwendazake. Marehemu hakuwa na jema lolote kwa nchi hii,ukiona kuna jema ujue alilifanya kwa faida zake binafsi. Kuzimu kunamuhusu huyu muuaji.
"Mficha maradhi kilio kitamfichua" Nyerere.Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha.
Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa.
Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station kubwa namna hii kuuaminisha dunia kuwa kafariki kwa Corona na sio Moyo kama ilivyoripotiwa na Makamu wa Rais sio jambo la kiungwana kabisa tena kwa media kubwa kama KTN.
Mahojiano yao yame-base kwa wale wakosoaji wa serekali tu na sijaona wenye +ve kuhusu serekali. Wanarudia tu speech za Magufuli ambazo zilikua na utata kama vile ng'ombe wa Kenya waliokamatwa Tanzania, mimba kwa watoto wa kike, upinzani na siasa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango, idadi ya viongozi waliofariki kwa kuhisiwa corona.
Ikiangalia unaweza kudhani aliyefariki ni Rais wa Kenya na sio wa Tanzania maana coverage ni kubwa Kenya kuliko Tanzania. Kwa Kenya imekua kama vile furaha kwao maana wamepenyeza sana propaganda zao sana.
Ignorance is real. What you was taught abt majimaji rebellion was not all abt that war, ni moja ya vita kubwa duniani, 3 kingdoms of southern Tz, vi wilaya kadhaa kusini Tz, against a strong united Germany, wajerumani wengi waliuliwa waliporwa silaha etc, it's a war that lasted for five years, hiyo technique ambayo huenda ilitumiwa na battalion moja, de one you guys were taught, could not last that long, some teachings are scripted and you get to be taught a narration that will alter your psych, make you feel smart, strong etc or make you feel ignorant and worthless. Wacha niishie hapa. Ukifanikiwa ukafika dsm, nenda national museum, accessible to anyone, you'll learn more and a lot, abt majimaji resistance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAJI MAJI REBELLION SEASON 2 executed perfectly.
Maji maji season 1 waliambiwa ukijipaka maji risasi za mzungu hazitakuingia. Jamaa kaingia vita na maji kama bulletproof vest. Watu wakauliwa kama nzige
Season 2. Corona ndio hiyo 2020. Wakaambiwa piga nyungu ya limau na ndimu hutapatwa na corona. Ndiye huyo rais jehanamu.
What a time to be alive.
IGNORANCE IS EXPENSIVEView attachment 1728629
Iliyo muua Rais wetu ni huo ugonjwa alokuwa nao since 1990's.Tanzania hali ya Covid ni mbaya sana. Imeua hadi Rais.
Kwani waliosema mwamba anachapa kazi walikuwa ni watu tofauti?Ni kweli hata mimi nimeshindwa kuendelea kutazama.Maana interview nzima wanazungumza ubaya mtupu. Kwanza wao wanasema direct 100% kuwa Magufuli amekufa kwa Covid-19. Kitu ambacho ni kinyume na taarifa iliyotolewa na mama Samia. Ukiwaangalia hata usoni unaona jinsi wanavyochekelea kifo cha Rais wetu
Niko area manze, mostly lurking on the background.Eh! bazenga mwenyewe.....umepitea boss
Stupid guy...an idiot...bila Shaka JF nayo ni ya Kenya...an animal...Ujuha ni zaidi ya ujinga, najaribu kuwaza hapa eti nitafute sijui ITV (zingine hata sizikumbuki) ya kwenu ili kufahamishwa kinachoendelea Nairobi hapa, halafu nianze kulalamika nikiona hawatoi taarifa nitakavyo mimi....hehehehe.
Lakini pia msilaumu media maana wenyewe mlichanganya Watanzania, mara mnawaambia rais anachapa kazi ni mzima ni kwamba tu yuko busy sana ndio maana hajitokezi, mara sijui ametuma salamu...yaani halafu leo mnalaumu vyombo vya habari.
Ukweli hampendi kamwe, propaganda imegandisha akili zenu, ukweli hauwezi kuingia![emoji23][emoji23][emoji23]., Yani MK254 kaeleza vizuri yale mliofanya na kuna evidence, wewe unakuja na matusi, ungepinga kama sio ukweli ama ufyate., sio lazima ujibu hoja.[emoji23][emoji23]Stupid guy...an idiot...bila Shaka JF nayo ni ya Kenya...an animal...
Waambie mkuu.Watanzania acheni ujuha, yaani mumekaa mnafuatilia media za Kenya, ina maana za kwenu zipo kimya au nini sababu za kuhangaika utumie media za majirani zako kufuatilia yanayoendelea ndani ya nchi yako, unless kama wewe ni Mtanzania unayeishi Kenya, haingii aikilini.
Huu ni muda wa kutafakari wapi mlitegukia, nini cha kurekebisha.
Tanzania hali ya Covid ni mbaya sana. Imeua hadi Rais.
Wakenya wamezoea sana kuitumia Tanzania . Kipindi hiki cha jiwe walifyata sana kazi ualimu ziliota mbawa , umeneja mahotelini mbawa, u ceo kwenye masharika mbawa, ununuzi wa Tanzanite ki holela mbawa nk nk. Hawa jamaa hawawezi kumpenda Chuma hata kidogo. RIP Chuma. Asante sana kwà kutukomeshea nyangaus . Mama Samia endeleza mfumo huo huo mpaka nyangaus waone rangi zote . Shenzi type1.Stiggler's project itakamilika
2. Sgr project itakamilika
3. E.t.c.
MNAOKESHA KUOMBA MABAYA HAMTAKAA MFANIKIWE KUYAONA YANATIMIA.
TANZANIA MBELE KWA MBELE AFE KIPA AFE BEKI CHUMA KISHASHIKA MOTO.
kwa kifupi mama inatakiwa apige spana mwanzo mwisho mara 10 zaid ya jiwe.Asiwachekee hovyo.Wakenya wamezoea sana kuitumia Tanzania . Kipindi hiki cha jiwe walifyata sana kazi ualimu ziliota mbawa , umeneja mahotelini mbawa, u ceo kwenye masharika mbawa, ununuzi wa Tanzanite ki holela mbawa nk nk. Hawa jamaa hawawezi kumpenda Chuma hata kidogo. RIP Chuma. Asante sana kwà kutukomeshea nyangaus . Mama Samia endeleza mfumo huo huo mpaka nyangaus waone rangi zote . Shenzi type
Endelea kupiga spana mkuu..Hili nilitegemea kabisa! Wanazan wataanza kupata fursa za kuja tz kupora kama walivokuwa wanapora zamani huko mererani n.k. ambacho hawajui ni kwamba magufuli keshaweka msingi ambao viongozi wengine wanafata. Magufuli alishatoa watu matongo tongo na ujinga uliokuwa umetifunika na kamwe hatutakuja kaibiwa kijinga na wakenya kama zamani. Niwakumhushe tu.majirani wanaofurahia kifo cha magufuli kwamba ule ukuta uliojengwa eneo la mererani hautavunjwa kwa sababu magufuli hayupo. Utaendelea kuwepo na sasa hivi tutakaza zaidi. Tena mnaamsha hasira za viongozi wetu.kwa jinsi mnavyofurahia hiki kifo. Maana ni heri mngekuwa wapole tungewasemehe. Wakenya wengi ni machizi wala miraaa akili zao zinamilikiwa ulaya walichobaki nacho ni kutamba tu for nothing! Et nch tajiri ila wao wanaishi kwenye mapango. Uchumi mkubwa ila umeshikiliwa na wachache wao. Ziro brain