Source Ni iyo akili yako Mavi.Takriban watu milioni 26 wanatatizika kupata chakula kufuatia misimu duni ya mvua mfululizo katika Pembe ya Afrika.
Hali ya ukame kaskazini mwa Kenya, sehemu kubwa ya Somalia na Kusini mwa Ethiopia inatabiriwa kuendelea hadi angalau katikati ya mwaka ujao, na kuweka maisha ya watu wengi hatarini.
Tayari hali ni mbaya sana, wanyama pori wanakufa kwa mamia yao na wafugaji wanaripoti hadi 70% ya vifo vya mifugo
Source Ni iyo akili yako Mavi.
Hakika maombi yanahitajika.Tumuombee sana balozi wa Kenya 🇰🇪 hapa JamiiForums bwana MK254
Hizi habari sio njema , unfortunately na Tzn hatuko salama kivile.Hali ya hewa mwaka huu haisomeki kabisa.Inasikitisha sana...
nikushangaa tuu,sasa hizi ndizo story mtanzania mzima anaweza kaa tu akapost!!!ufala mwingine bana nktNyuzi kama hizi wakenya wanazikalia mbali
Kenya na njaa huwezi kuitenganisha, hii sio habari ngeni kuja hapa hili ni tatizo ambalo ni la kudumunikushangaa tuu,sasa hizi ndizo story mtanzania mzima anaweza kaa tu akapost!!!ufala mwingine bana nkt
Mbona hujaskia mkenya yeyote ambaye amepost vitu kama ukame iliouwa ngombe maelfu huko Tanzania,na ni juzi tu!!
Sasa mathumuni ya kupost takataka kama hii ni gani???
kama sio tatizo geni basi mbona mtu ashinde akililiongelelea na hana suluhu,its a nonsensical post!Kenya na njaa huwezi kuitenganisha, hii sio habari ngeni kuja hapa hili ni tatizo ambalo ni la kudumu
Huwezi ukakwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho, huwezi ukasema kwakua huna suluhu basi kukaa kimya ndio suluhukama sio tatizo geni basi mbona mtu ashinde akililiongelelea na hana suluhu,its a nonsensical post!
sasa suluhu ya ukame ni gani??its a nutural disaster na serikali imejaribu yake yote kusaidia na chakula ya msaada Kenya nzimaHuwezi ukakwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho, huwezi ukasema kwakua huna suluhu basi kukaa kimya ndio suluhu
Kama mnavyopata nguvu kuongelea maendeleo yenu basi hata mapungufu yenu pia hamtakiwi kuyafumbia macho, changamoto ndio kipimo cha ukomavu
Uhuru wa kujieleza uheshimiwe, kila mtu snayohaki ya kupost lolote analolitaja, hamjakatazwa kupost hiyo habari ya Ng'ombe waliokufa kwa ukame Tanzania, tafadhali iweka hiyo habari na hakuna mtanzania atakayelalamika, wacha kulalamika badala yake anzenu juhudi za kuzalisha chakula ili kuepukana na aibu ya njaanikushangaa tuu,sasa hizi ndizo story mtanzania mzima anaweza kaa tu akapost!!!ufala mwingine bana nkt
Mbona hujaskia mkenya yeyote ambaye amepost vitu kama ukame uliouwa ngombe maelfu huko Tanzania,na ni juzi tu!!
Sasa mathumuni ya kupost takataka kama hii ni gani???
Suluhu ya ukame ni kilimo cha umwagiliaji, serikali ya Kenya lazima ijue vipaumbele muhimu, badala ya kukimbilia kujenga "white elephants projects" Kama Lamu port, SGR. Isiolo and other useless Airports ambazo sio muhimu kwasasa ukilinganisha na kilimo cha umwagiliaji.sasa suluhu ya ukame ni gani??its a nutural disaster na serikali imejaribu yake yote kusaidia na chakula ya msaada Kenya nzima
Nadhani taarifa za ukame wa Manyara umezisikia vema.Ndugu zetu kama wamelaaniwa sijui.