Mtakuja uzwa kutegemea wanaume wenzenu...kwanini msianzishe chenu....Ulitaka tukuje tanzania? Mchina ameendelea kiteknolojia, mzungu pia ndiyo kwa sababu tunaenda kusoma kwao. Nyinyi mnaopenda masomo ya gumbaru mtatusaidia nini?
Kwanza kiteknolojia Tanzania ik na nini ya kuonyesha dunia ama hata afrika?
Yani hata wakati AU kupitia African Institute for Mathematical Sciences (AIMS) ilichagua wanasayansi 25 wa afrika hakuna hata mtanzania mmoja alikuwemo.Elimu ya tanzania ni bora. Sema wewe hupendi vile ikifundishwa kwa lugha ya kuafrika. Unataka ifundishwe kwa lugha ya kiingereza. English lugha tu sio utΓ alamu. Mafundi wangapi hawajui kimgereza lakini ndo basic blocks katika kujenga nyumba na kufanya installation za umeme. Ma engineer wanaojua kingereza wanabaki wanawatumatuma tu. Lakini kiuhalisia kazi inafanywa na ma artisan na matechnician
I wonder why Tanzanians are so daft....Wakenya ni watu wa kujituma kwa mabeberu[emoji23][emoji23]. Watanzania ni watu wa kujituma kwa watanzania wenzao
WFP nayo ilisema watanzani wengi akili zao hazikui vizuri kwa sababu ya kula mihogo na maharage tu kutoka utotoni.
Ulitaka tukuje tanzania? Mchina ameendelea kiteknolojia, mzungu pia ndiyo kwa sababu tunaenda kusoma kwao. Nyinyi mnaopenda masomo ya gumbaru mtatusaidia nini?
Kwanza kiteknolojia Tanzania ik na nini ya kuonyesha dunia ama hata afrika?
Msome huyo mtanzania anapaishwa na UN Tanzanian scientist proposes nano innovations to address health problemsYani hata wakati AU kupitia African Institute for Mathematical Sciences (AIMS) ilichagua wanasayansi 25 wa afrika hakuna hata mtanzania mmoja alikuwemo.
Hata hiyo G8 Kenya, ethiopia, Nigeria na south africa ndizo nchi hualikwa kuka kwa hizo vikao.Mwafrika ndo binadamu pekee alietofauti na binadamu wote dunuani. Wote waliobaki ni wazungu kasoro mwafrika. Ndo maana hata mikutano ya G8 superpowers huwezi kukuta nchi ya africa. Inamaana wazungu ndo wanaitana kudiscuss kucontrol dunia. Na je wajua G8 zipo nchi zipi. Hapo mdo utajua wazungu ni wapi na waafrika(black) ni wapi
Who is AU? nyerere alivokufa na AU ilikufa. No african union. Now its LIVE drama movie in AU. there is no seriousness.Yani hata wakati AU kupitia African Institute for Mathematical Sciences (AIMS) ilichagua wanasayansi 25 wa afrika hakuna hata mtanzania mmoja alikuwemo.
Depression ni rahisi kutibu, kichaa wengi huwa hawaponi.
WFP nayo ilisema watanzani wengi akili zao hazikui vizuri kwa sababu ya kula mihogo na maharage tu kutoka utotoni.
Ukumbuke hizo akili zenyu ambazo hazija mature, huwafanya mfikirie mnaeza jilinganisha na Kenya.
We unajidanganya kweli. Watakua wanaalikwa kwenye fungulia mbwa. Yani baada ya kikao kale ka mda ka kurelax na kuchekeshana.Hata hiyo G8 Kenya, ethiopia, Nigeria na south africa ndizo nchi hualikwa kuka kwa hizo vikao.
Mtu mmoja wakati Kenya iko na maelfu wakiwemo Prof Calestous Juma anayefunza Harvard University, Prof Mzenga Wanyama Augsburg University,Prof Peter Mbati Vice Chancellor Sefako Makgatho Health Sciences University Pretoria, South Africa, Prof Magdalene Anyango Namakhia University for the Creative Arts London, Prof Yotto ochieng Head of the Centre for Transport Studies at Imperial College London. He also serves as Director of the Engineering Geomatics Group and Chair of Positioning and Navigation Systems etc List ni ndefuMsome huyo mtanzania anapaishwa na UN Tanzanian scientist proposes nano innovations to address health problems
Niliwaambia ujinga ndiyo mko nayoWe unajidanganya kweli. Watakua wanaalikwa kwenye fungulia mbwa. Yani baada ya kikao kale ka mda ka kurelax na kuchekeshana.
We uliskia wapi eti wanasayansi wakenya wanafanya research za Wazungu?.ππWho is AU? nyerere alivokufa na AU ilikufa. No african union. Now its LIVE drama movie in AU. there is no seriousness.
Na hao wanasayansi walienda ulaya kutumika kama watumwa. Wametumia akili zenu kujinufaisha. Amkeni
Najua kwa sababu GOK hutoa statistics za Ministry of Health.Wala hawakusema wakenya wameugua depression, wamesema Wakenya wana matatizo ya kiakili, hiyo depression umesema wewe.
Huyo ni wale wa kukaa na kungoja serikali iwafanyie kila kitu. Imjengee nyumba, ilishe bibi na watoto wake wote 12.We uliskia wapi eti wanasayansi wakenya wanafanya research za Wazungu?.ππ
Hao walikuwa ni wana sayansi waliochaguliwa kwa kujaribu kutatua shida za afrika na wakaonekana hao ndiyo 25 bora. Wewe ulitaka watatue shida za wapi?Who is AU? nyerere alivokufa na AU ilikufa. No african union. Now its LIVE drama movie in AU. there is no seriousness.
Na hao wanasayansi walienda ulaya kutumika kama watumwa. Wametumia akili zenu kujinufaisha. Amkeni
Shida gani ya africa ilitatuliwa na hao wanasayansiHao walikuwa ni wana sayansi waliochaguliwa kwa kujaribu kutatua shida za afrika na wakaonekana hao ndiyo 25 bora. Wewe ulitaka watatue shida za wapi?
Unajiita genius lakini naona mtoto wangu wamiaka 4 ako na akili kushinda watanzania wengi.
Ingine ndiyo hii, yani WHO na AU waliomba GOK ikubali wajenge research centre ya magonjwa hapa Kenya.Shida gani ya africa ilitatuliwa na hao wanasayansi
Shida gani ya africa ilitatuliwa na hao wanasayansi