Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

Tuko busy Magomeni kudai katiba ndugu:

Lipumba yuko Magomeni leo, kulikoni baridi hivi?

Ya Kenya yanaishia kwenye kutambua walifanikiwa kuiondoa katiba mbovu hata iliyokuwa imewavua kina Miguna uraia.

Kwamba tukikomaa kumbe katiba mpya ipo.
Miguna alitendewa unyama chini ya hii katiba Yao mpya. Tatizo huna taarifa Wala hujui kinachoendelea hapa duniani, wewe KAZI yako ni kusililiza kelele za wanasiasa na wewe unafuata Kama zuzu tu
 
Miguna alitendewa unyama chibi ya hii katiba Yao mpya. Tatizo huna taarifa Wala hujui kinachoendelea hapa duniani, wewe KAZI yako ni kusililiza kelele za wanasiasa na wewe unafuata Kama zuzu tu

Miguna alipokonywa uraia kwa mujibu wa katiba ya awali ya Kenya ambayo haikuruhusu uraia pacha.

Katiba mpya ya Kenya ilimtambua Miguna kama raia halali wa Kenya.

Ilikuwa ni kwa mujibu wa katiba mpya ya Kenya ambapo mahakama ilisisitiza uraia wa Miguna kuwa raia wa Kenya.

Ninakazia:

Zuzu ni wewe kaa Kwa kutulia tunamfuatilia propesa hapa kachoka kama ninyi
 
Nikikuambia wewe ni zuzu unahisi ninakuonea, wewe ni zuzu hasa hauna mpinzani. Mahakama ya Kenya ilitoa hukumu ya kutaka Miguna arudishwe nchini mwaka 2017, wakati katiba mpya iliandikwa 2010, Sasa iweje serikali itumie katiba ya zamani kumfukuza?, Sasa faida ya kuwepo na katiba mpya ni nini Kama bado serikali inaweza kuiacha na kutumia ya zamani?.

Kwahiyo katiba mpya inaweza kuvunjwa na serikali na mahakama ikashindwa kuilinda sivyo?, basi hakuna faida ya kukimbilia mahakamani kuomba ulinzi, hata huyo Matiang'i wakiamua watamkamata bila kujali amri ya mahakama, Kenya hakuna la maana lililopatikana kutokana na katiba mpya.
 
Kwa vile zuzu ni wewe usidhani na wengine pia:

"The government has since issued a statement saying that under the old constitution, Kenyans couldn't hold dual-citizenship meaning that Mr Miguna's acquisition of a Canadian passport in 1988 cost him his Kenyan nationality.

Although Mr Miguna successfully applied for a Kenyan passport in 2009, the government says this application was invalid since he didn't declare his Canadian citizenship.

The government added that Mr Miguna never applied for Kenyan nationality once the constitution changed in 2010 to permit dual nationality."


Kenya deports lawyer over 'swearing-in' - BBC News

Mambo mengine msiyoyajua danganyaneni wenyewe Lumumba huko!

Ninakazia:

Miguna alipoteza uraia kwa mujibu wa katiba ya zamani si kwa mpya ya Kenya.

Bila Katiba mpya hukumu ya mahakama isingekuwa dhidi ya serikali.
 
Sasa kazi ya mahakama ni nini Kama sio kutoa haki?. Kwahiyo serikali ndiyo inayojiamulia yenyewe vile ambavyo inadhani ni sahihi kwa upande wake sivyo?.

Wewe uwezo wako wa akili unafanana kabisa na hao unaowashabikia. Wewe mwenyewe unasisitiza uhuru wa mahakama, lakini kutokana na uzuzu wako, hapa unatetea na kuamini maelezo ya serikali, maelezo ambayo mahakama ya Kenya waliyatupilia mbali, Sasa Kama sio uzuzu ni nini?, Jipe jina lingine linalokufaa. Kwa akili hizo utaendelea kushikiwa akili na walevi, akina Luhaga Mpina na Mbowe hadi uzeeke.
 
Wamebakiza kumuua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…