Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

Tanzania na ukabila ni kitu kipo sana ...wala sio kidogo sema Kuna makabila mengi hayana time na mtu ukichunguza makabila mia na kitu ila ya wenye sifa na ubaguzi ni manne tu basi...yangekuwa mengi basi amani ingeshavurugika na hayo makabila yaliyo na ubaguzi wengi ni washamba hawajiamini..

Sasa hapo ndo nn kuweka kabila la mtu .
 
KUNA MAENEO UNACHOKISEMA NI KWELI..!! Lakini usisahau Mrema alishawahi kuwa mbunge wa Temeke
1. Gambo ni mbunge wa Arusha na siyo mwenyeji wa Arusha.
2. Gwajima wa Kawe?
3. Ndungulile wa Kigamboni?
4. Kitila Ubungo?


List nindefu sana
.
 
Hahahaa yaani pale Uwanja wa fisi malaya kama 98% wanaotoa huduma kwenye vile vyumba ni Wahaya.

Sema serikali inawaonea sana hawa wauza K wana umuhimu wake sana kwenye jamii
Limama linaonekana lina pekecha kinoma, alafu nachopendea mama haya unajilia utakavyo hayana nouma, ni wewe tu na ni maelewa 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…